Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Hiii nmecheka san, kwamba wametupita mbali sana.Kuna kipindi nilivyowatazama sokwe walivyo na ushirikiano na uaminifu kwenye jamii zao hasa wale viongozi wao ,tumepitwa mbali mno hasa sisi ngozi nyeusi.
Sana mkuu wako organize mno wakiwa seriously kidogo watatupita mbali kwenye gunduzi mbalimbali.Hiii nmecheka san, kwamba wametupita mbali sana.
Duuuh!!!! Hii sasa Kali, acha kutubagua bhanaKuna kipindi nilivyowatazama sokwe walivyo na ushirikiano na uaminifu kwenye jamii zao hasa wale viongozi wao ,tumepitwa mbali mno hasa sisi ngozi nyeusi.
Sio hivyo mkuu kwani ukitoa kila kitu cha mzungu sisi tumewapita nini sokwe?Duuuh!!!! Hii sasa Kali, acha kutubagua bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kipindi nilivyowatazama sokwe walivyo na ushirikiano na uaminifu kwenye jamii zao hasa wale viongozi wao ,tumepitwa mbali mno hasa sisi ngozi nyeusi.
Tuna dai binadamu wana kitu kinachoitwa utu ndio maana tukaitwa watu , binadamu ni mbinafsi ambayo siyo sifa ya utu , kwa nini sasa hiki cheo cha utu tusiwape wanyama ambao sio wabinafsi?Hio ni silika yao , sisi hatuna mfanano na wanyama kwa wingi wa vitu.
Pia ikumbukwe kwa asili binadamu ni mbinafsi ndio maana ikawa hivyo.
Sijui ufunguliwe kesi ya madai au ya uchochezi?Kuna kipindi nilivyowatazama sokwe walivyo na ushirikiano na uaminifu kwenye jamii zao hasa wale viongozi wao ,tumepitwa mbali mno hasa sisi ngozi nyeusi.
Thibitisha kuwa madai yangu siyo ya kwel.Sijui ufunguliwe kesi ya madai au ya uchochezi?
🐒Kuna kipindi nilivyowatazama sokwe walivyo na ushirikiano na uaminifu kwenye jamii zao hasa wale viongozi wao ,tumepitwa mbali mno hasa sisi ngozi nyeusi.
Kuna bwana mmoja humu , huwa anatumia sana vi emoj vya hivyo ,huwa sijui anatuonaje🤔
hahahahha!so ngozi nyeusi ni wa ovyo kuliko sokwe?hahahaKuna kipindi nilivyowatazama sokwe walivyo na ushirikiano na uaminifu kwenye jamii zao hasa wale viongozi wao ,tumepitwa mbali mno hasa sisi ngozi nyeusi.