Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Kwa Mara Ya Kwanza Yaandikwa Rekodi Kwa Nchi Moja Kuingiza Timu 5 hatua Ya 16 bora Katika UEFA Champion League...
Ligi Kuu Ya EPL nchini Uengereza imefanikiwa Kuingiza Timu 5 kati ya 16 zilizofuzu Katika Hatua ya Last 16 jambo ambalo halijawahi Kufanya na Nchi Yoyote hile Katika Sayari Hii...
Na Nafasi Hizi Tano za Kushiriki Champion League Waingereza Hawakupewa Kwa Upendeleo, Bali Wamezitafuta Kwa Jasho lao.
1) Spurs (Kaongoza Kundi)
2) Man United (Kaongoza Kundi)
3) Man City (Kaongoza Kundi)
4) Liverpool (Kaongoza Kundi)
5) Chelsea (Nafasi Ya Pili)
Na ikumbukwe Kuwa Bingwa Wa Laliga (Real) Katika Kundi Lake Kagalagazwa Na (Spurs) Timu inayoshika Nafasi ya 6 kwenye EPL....
Ni WanaLaliga 2 (Real na Sevilla) Walikutana na WanaEPL 2 (Spurs na Liverpool) respectively Katika Makundi Yao Lakini Hawakuweza Kufurukuta na Wakaishia Nafasi za Pili kila Mmoja.
Halafu Leo Wanatokea Misukule from Nowhere wanakwambia "LALIGA NI LIGI BORA UKILINGANISHA NA EPL"!!! Yaani Nashindwa Kujenga Picha sijui Ni Majani ya Wapi Wanayovuta hawa Jamaa... 😀😀😀