Somo kwa wahafidhina wa Laliga

Somo kwa wahafidhina wa Laliga

Je Timu ya Uengereza yaweza Kucheza Fainali ya UCL?

  • Ndiyo

  • Hapana

Results are only viewable after voting.
Many U, Spurs, Man City, Liverpool, Chelsea na Arsenan V/S Real na Barcelona

Kuna Watu Vichaa Kweli... Hivi Ligi Yenye Timu Sita za Ushindani Unaifananisha Na Ligi Yenye Timu Mbili za Ushindani??? Ridiculous...

Wacheni Kuifananisha EPL na Mambo ya Kipumbavu!
Ligi yenye ushindani wa timu sita kati ya timu 20? timu muja ina shinda zaidi ya michezo 20 mfululizo una kuja kusema kuna ushindani EPL? au una kuja kuleta upenzi na ushabiki bila fact....
 
Mapenzi na unazi uwa ni tatizo siku zote... una mkataza mwenzio kukalili historia na kudai upo una simama ktk wakati uliopo... yeye kwa hoja yako ameenda mbali zaidi na kusema kuwa hatoshangaa kwa wakt ujao kuwa kombe likaenda laliga...

Punguza unazi na Uliver... ukijua kwanini na vigezo vya kuwa ligi bora utaelewa... na ukielewa vigezo vya ligi yenye ushindani utaelewa zaidi...

Historia haiepukiki katk dunia ya sasa hata itakayo kuja kama itakuwepo... historiaa ni sehemu ya maisha na ndio maana tuna bible, misahafu, na tuna soma kwa kufanya reference ya vilivyo tokea ili kuweza kuona kama kuna uitaji wa sasa na baadae na nini kifanyike kupitia hizo historia....

1) Mimi Nakushauri Wewe Ndiyo Ukajifunze Criteria Za Ligi Bora Uone Kama Laliga itaQualify...

2) Mimi Nakataa Kukariri Historia Kwasababu Wanzi Wa Laliga Wengi Wao Hawaijuia Historia! Kwahiyo Nikitaka Historia Wao ndiyo Wa Kwanza Watakaoipinga!!

Ngoja Nikuoneshe Mfano Historia inavyofanya Kazi...

• Ni timu Mbili tu Katika Historia Ya Laliga Ambazo Zimewahi Kubeba Champion League... Nazo Ni Real Madrid na Barcelona FC.

• Ni timu tano 5 Katika Historia Ya Uengereza Ambazo Zimebeba Champion League..
i) Man United
ii) Liverpool
iii) Nitingham Forest
iv) Aston Villa
v) Chelsea

Kwahiyo Hapo Kihistoria Umefeli...

• Ni real Pekee Kwenye Laliga Aliyewahi Kushinda CL bak-to-Backback-to-back
• Ni Liverpool na Nottingham Forest Kwa EPL Ambazo waliwahi Kushinda CL back-to-back..

Mkuu Kwa Historia Laliga haina lolote Mbele EPL lakini Hizi Historia Hazina Nafasi Kwenye Sika kwa Upande wangu...
Mimi Naangalia sasa kinaendelea nini? Sio Kilichopita...
 
Ligi yenye ushindani wa timu sita kati ya timu 20? timu muja ina shinda zaidi ya michezo 20 mfululizo una kuja kusema kuna ushindani EPL? au una kuja kuleta upenzi na ushabiki bila fact....

Hakuna Timu EPL iliyoshinda Michezo 20 mfululizo Acha Uwongo Wewe Kama Umekosa Hoja Nyamaza... Lol!

Kwanza Michezo Yote iliyokwisha Chezwa Ni 15 na Hakuna aliyeshinda Yote 15 sasa hiyo 20 umeitolea wapi??

Siwezi Kukuamini Tena..
 
Burudani gani iliyopo Laliga?
Kukaa Kwenye TV kabla Mpira Haujaanza ukawa unauhakika Barcelona anashinda Ndiyo Burudani au?

Ligi isiyo na Ushindani
ya Timu Mbili Real na Barcelona Haiwezi kuitwa Ligi Bora...
Bali Kuna Mechi Bora tu ya El Clasico...
Kipimo cha Barca na Madrid kuwa bora Duniani ni vile ambavyo wananyanyasa timu nyingine za ulaya wanapokutana nazo Uefa...

na wanaosema hayo sio sisi wasemaji ni vyama vya soka ulaya na Dunia wewe tafuta wanazi wenzio wa epl mdanganyane sisi tunaangalia takwimu...ati Liverpool nayo ukaiweke kwenye timu zenye ushindani [emoji90][emoji90][emoji90]
 
Wachezaj bora wa dunia in 10 years wametoka nch gani? Piga mstari!

Mimi Sizungumzii SELF-TALENT Bali Nazungumzia TEAMTEAMWORK kwahiyo Hilo Swali laku halihusiani Na Post Yangu....

• Sizungzii Kipaji cha Mtu Binafsi
• Nazungumzia Kazi ya Timu Mzima.

Full stop.....
 
Back-to-Back??
Ukiongelea back to back Hata Uengereza Ni Timu Mbili Zimeshawahi Kuchukua CL back to back rudia Historia uone.. Lakini Hapa Mimi sipo kihistoria Bali Naongelea Wakati Uliopo na Kinachoendelea...

Kwa Wakati Huu Chukua Timu 6 za juu za Laliga na Timu 6 za Juu za EPL halafu zichezeshe Uone Ukitoa Barcelona Kama Yupo Mwengine Atakayeweza Kushinda Hata Mechi Moja...

Achana na Historia Kubali Ukweli Kuwa EPL Kwa sasa ipo Juu tu...

Germany:
Timu ya Ushindani Ni Moja Beryan Pekee...

France:
Timu Ya Ushindani Ni Moja PSG Pekee...

Italy:
Timu ya Ushindani Ni moja Juventus Pekee....

Spain:
Timu za Ushindani Ni Mbili Real na Barcelona Pekee....

England:
Timu za Ushindani Ni 6:
1) Liverpool

2) Man United

3) Chelsea

4) Man City

5) Spurs

6) Arsenal

Halafu hapo still mtu anapinga ubora Wa EPL!! Jamani Hizi Akili za WaTZ zipo kichwani Kweli????
Unasemaje timu za ushindan ni Madrid na Barcelona wakat unaona Madrid kwenye Laliga iko nafasi ya nne?? Wakat huo unasahau kwamb Mancity hawjapoteza mech yoyote
 
WEWE NI MPUMBAVU

UMESEMA REAL ALIKUWA BINGWA MSIMU ULIOPITA LAKINI UNAITAJA SPURS KTK MSMU MPYA.. UNAJUA MADRID YUPO NAFASI YA NGAPI LA LIGA MSMU HUU? KAMA UNALINGANISHA KITU BS LINGANISHA KWA WAKATI HUSIKA

ILA KAMA UNATUMIA PAST EXPERIENCE THEN LA LIGA IS THE BEST LEAGUE KWA KUWA IMECHUKUA VIKOMBE VINGI VYA UEFA CHAMPS KULINGANISHA NA LEAGUE YOYOTE ULAYA.

HALAFU UKUMBUKE EPL MMEFURUKUTA MWAKA HUU TU BAADA YA MIAKA TAKRIBAN 10 KUVURUNDA

MWISHO: KIPIMO HALISI NI KNOCKOUT STAGE.
 
Kipimo cha Barca na Madrid kuwa bora Duniani ni vile ambavyo wananyanyasa timu nyingine za ulaya wanapokutana nazo Uefa...

na wanaosema hayo sio sisi wasemaji ni vyama vya soka ulaya na Dunia wewe tafuta wanazi wenzio wa epl mdanganyane sisi tunaangalia takwimu...ati Liverpool nayo ukaiweke kwenye timu zenye ushindani [emoji90][emoji90][emoji90]

Kwani Nani Aliyesema Kuwa Real Na Barca sio Timu Bora? Au unaona Mimi sijui? Au ipo sehemu niliyosema Barca na Real si Timu bora?

Hata Beryan Ni Timu Bora Barani Ulaya na Wala Halina Mjadala! Lakini Je Kwakuwa Beryan Ni Timu Bora na Ligi Yake itakuwa Bora?

Kwakua PSG Ni Timu Bora na Je Ligi ya France itakuwa Bora?

Kwahiyo Na Real and Barca Ni Timu Bora lakini Ligi yao Ni Kigenge cha Wao Kujipigia tu Halina lolote...

Mimi Nazungumzia Ligi sio Timu Fulani na Fulani
 
Ushabiki huu unawapa watu vichaa, wanasema EPL kuna ushindan wakati man city hajapoteza mechi hata moja mpaka sasa, ukitaka mpira wa ufundi nenda Laliga EPL ni sifa tu

Lakini Barcelona anapokuwa Hajapoteza bado Ni Ligi Bora si Ndiyo?
 
WEWE NI MPUMBAVU

UMESEMA REAL ALIKUWA BINGWA MSIMU ULIOPITA LAKINI UNAITAJA SPURS KTK MSMU MPYA.. UNAJUA MADRID YUPO NAFASI YA NGAPI LA LIGA MSMU HUU? KAMA UNALINGANISHA KITU BS LINGANISHA KWA WAKATI HUSIKA

ILA KAMA UNATUMIA PAST EXPERIENCE THEN LA LIGA IS THE BEST LEAGUE KWA KUWA IMECHUKUA VIKOMBE VINGI VYA UEFA CHAMPS KULINGANISHA NA LEAGUE YOYOTE ULAYA.

HALAFU UKUMBUKE EPL MMEFURUKUTA MWAKA HUU TU BAADA YA MIAKA TAKRIBAN 10 KUVURUNDA

MWISHO: KIPIMO HALISI NI KNOCKOUT STAGE.

NDIYO SIFA YA MWENDAWAZIMU SIKU ZOTE HUONA JAMII ILIYOMZUNGUKA HAINA AKILI ILA YEYE NDIYE MWENYE AKILI
 
Mimi nadhani tusipime league bora na kuchukua ubingwa wa CL. League bora yenye wapenzi wengi duniani na kwa hili naamini wote tunajuwa ni league gani. Leo PSG akichukuwa ubingwa tutasema league ya France ni bora? Porto alivyochukuwa ubingwa league ya Ureno ilikuwa bora? Mimi nadhani ni vitu viwili tofauti, Real, Barca, Munich, PSG na Juve zote team kubwa na nzuri sio kazima league za bora. EPL inaangaliwa na watu wengi na value yake ni kubwa sana na kitu kizuri kina thamani.
 
1) Mimi Nakushauri Wewe Ndiyo Ukajifunze Criteria Za Ligi Bora Uone Kama Laliga itaQualify...

2) Mimi Nakataa Kukariri Historia Kwasababu Wanzi Wa Laliga Wengi Wao Hawaijuia Historia! Kwahiyo Nikitaka Historia Wao ndiyo Wa Kwanza Watakaoipinga!!

Ngoja Nikuoneshe Mfano Historia inavyofanya Kazi...

• Ni timu Mbili tu Katika Historia Ya Laliga Ambazo Zimewahi Kubeba Champion League... Nazo Ni Real Madrid na Barcelona FC.

• Ni timu tano 5 Katika Historia Ya Uengereza Ambazo Zimebeba Champion League..
i) Man United
ii) Liverpool
iii) Nitingham Forest
iv) Aston Villa
v) Chelsea

Kwahiyo Hapo Kihistoria Umefeli...

• Ni real Pekee Kwenye Laliga Aliyewahi Kushinda CL bak-to-Backback-to-back
• Ni Liverpool na Nottingham Forest Kwa EPL Ambazo waliwahi Kushinda CL back-to-back..

Mkuu Kwa Historia Laliga haina lolote Mbele EPL lakini Hizi Historia Hazina Nafasi Kwenye Sika kwa Upande wangu...
Mimi Naangalia sasa kinaendelea nini? Sio Kilichopita...
We ujue huelewi haswa unachoongea kwenye hilo swala la ligi ya ushindani...haiwezakani leo timu zinazocheza ligi isiyo na ushindani ndo zikachukue ubingwa mbele ya timu zinazocheza ligi ya ushindani tena mara nyingi watakavyo huku wakiweka historia kama ya ku win back to back

Madrid na Barca zisingeweza kushinda Uefa karibia kila msimu kama la liga ingekuwa si ligi bora Duniani...yaani hizi timu zingekua kama Yanga na Simba kuishia hatua za awali kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika kwa sababu kama hizo za kucheza ligi dhaifu epl hongera zao kuja na timu 5 round ya 16 ila itakuwa ufala kama timu 3 zikaishia hapo hapo 16 na timu 3 za la liga zikalazimika kucheza wenyewe kwa wenyewe fainali..
 
Back
Top Bottom