Somo kwa wahafidhina wa Laliga

Je Timu ya Uengereza yaweza Kucheza Fainali ya UCL?

  • Ndiyo

  • Hapana


Results are only viewable after voting.

Rajab_Omar

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Posts
16,482
Reaction score
27,182
Kwa Mara Ya Kwanza Yaandikwa Rekodi Kwa Nchi Moja Kuingiza Timu 5 hatua Ya 16 bora Katika UEFA Champion League...

Ligi Kuu Ya EPL nchini Uengereza imefanikiwa Kuingiza Timu 5 kati ya 16 zilizofuzu Katika Hatua ya Last 16 jambo ambalo halijawahi Kufanya na Nchi Yoyote hile Katika Sayari Hii...
Na Nafasi Hizi Tano za Kushiriki Champion League Waingereza Hawakupewa Kwa Upendeleo, Bali Wamezitafuta Kwa Jasho lao.

1) Spurs (Kaongoza Kundi)

2) Man United (Kaongoza Kundi)

3) Man City (Kaongoza Kundi)

4) Liverpool (Kaongoza Kundi)

5) Chelsea (Nafasi Ya Pili)

Na ikumbukwe Kuwa Bingwa Wa Laliga (Real) Katika Kundi Lake Kagalagazwa Na (Spurs) Timu inayoshika Nafasi ya 6 kwenye EPL....

Ni WanaLaliga 2 (Real na Sevilla
) Walikutana na WanaEPL 2 (Spurs na Liverpool) respectively Katika Makundi Yao Lakini Hawakuweza Kufurukuta na Wakaishia Nafasi za Pili kila Mmoja.

Halafu Leo Wanatokea Misukule from Nowhere wanakwambia "LALIGA NI LIGI BORA UKILINGANISHA NA EPL"!!! Yaani Nashindwa Kujenga Picha sijui Ni Majani ya Wapi Wanayovuta hawa Jamaa... 😀😀😀
 
Waambie wasirudie kufananisha EPL na vitu vya kijinga. Epl is the best.
 
Nyinyi Endeleeni Kukariri Historia (Real vs Atletico)..... Wakati sisi tunaendana na Wakati uliopo....
Tangu 2014-2017 La liga inatetea Uefa mfululizo huku fainali zikichezwa na timu nne tu tatu kutoka La liga moja kutoka Serie A,na hiyo haihusiani na mambo ya historia,nyie hamuwezi kwenda na wakati kamwe coz hamna ushindani ktk hii ligi ya wababe Ulaya.
 
Kuingiza team knockout stage sio kipimo cha ubora wa ligi.


Kwahiyo Ubora Wa Ligi Ni Kutolewa Kwenye Makundi Ukasukumizwa Kule Kwenye Mechi Za Ijumaa za Europa Kama Alivyofanywa Atletico Madrid ama?
 
EPL wachumba tu. Kelele nyingi mafanikio sifuri.
Kushinda mapambano sio kushinda Vita. Time will tell, mwezi May sio mbali

Kwahiyo Kufungwa Mapambano Ndiyo Kushinda Vita?? Basi Monaco Ndiye Bingwa Wa Marahii.. Full stop.
 

Tunaongelea Current Season... Tukija Historia Hata Man vs Chelsea Zilicheza Fainali...
Usijisifu Kwa Ulichokula Jana...
 
Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi,it's always quality > quantity. Nakuomba urudi tukifika kweye finals, utatafuta jinsi ya kumeza kauli zako mwenyewe.The league of superstars will always maintain it's top level.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…