Freesociety
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 984
- 926
Zote zilizoingia. I mean Liverpool karudi kwenye form, Chelsea kauwasha moto, Man U kama kawa Man City ndio kabisa.Hebu niambie timu yoyote ile EPL ya kuweza kuzima mziki wa Barca, Bayern na Psg
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zote zilizoingia. I mean Liverpool karudi kwenye form, Chelsea kauwasha moto, Man U kama kawa Man City ndio kabisa.Hebu niambie timu yoyote ile EPL ya kuweza kuzima mziki wa Barca, Bayern na Psg
Wamezoea kubebwa na UEFALONA hawa sasa wakajiona eeee ndo timu kali pekee zipo spain.... Nasikia kuna marefaree 20 kutoka spain kwenye world cup, kuna harufu ya figisu apa.Hawakumbuki Madrid akiwa kwenye ubora mpaka kuchukua ubingwa ucl mara 2 mfululizo ndo alimfunga Liverpool aliyekuwa mbovu, lakini Liverpool akiwa katika ubora wa kawaida na Madrid kama kawaida yake na stars wakubwa alikaa nje ndani ucl.
Wewe rudi kaangalie simba na yanga. Unataka kufananisha Valencia au Sevilla na kina Liverpool. Ok Real Madrid alikaa miaka 30 bila CL kwa hiyo unamuweka kundi moja na Sevilla.Unazungumzia kupotea???? Haha Arsenal vp?? Liverpool nayo??? Man U tangu aondoke Ferguson vp??? Acha kutuchekesha hapa
Sema wanataka kuchezea Real au Barca sio La liga. Waache waende Sevilla, A.Madrid au Real betis. Ndio kule tunarudi league ni team 20 isiwe 2Mkuu hao wote unaowasema wazur wanatamani kwenda kucheza league bora (laliga) Coutinho na De Gea ni mfano wa watu wanaonganganiwa lkn wanataka kwenda kwenye mpira unaoendana na kiwango Chao
mkuu ila hata VODACOM PREMIER LEAGUE imebamba sana. hembu tafuta kingamuzi cha azam ufatilie. achana na huu utumwa mambo leo
Msimu uliopita pia Real Madrid alimalza kundi akiwa wa pili.
Hebu niambie timu yoyote ile EPL ya kuweza kuzima mziki wa Barca, Bayern na Psg
Subiri uone bingwa atakuwa nan? Kama akitoka EPL JPM ataongeza mshahara mara 10
Sema wanataka kuchezea Real au Barca sio La liga. Waache waende Sevilla, A.Madrid au Real betis. Ndio kule tunarudi league ni team 20 isiwe 2
Mshika kibendera kavaa jezi ya Sergio RamosHii ni nini?
Mtaalam umetupia avatar ya Liverpool ila unaulewa mdogo sana kuhusu mpira. EPL sikuhizi EPL imekua kawaida sana. Mm binafsi na familia yangu tunaangaliaga Serie A tu mwaka wa ishirini na nne huu. Ukiangalia takwimu siku hizi watu wanaangalia kilicho bora. Mtu na akili zako timamu huwezi kuangalia Liverpool au arsenal ukaicha mechi ya PSG. Usijisifu unatimu nzuri kwa Maribor na Lokomotiv Moscow.Hivi Ukiitoa El Clasico Ni Mechi Gani Watu Wanayoifatilia?
Huko Kujuolikana Hicho Kijiligi Chenyewe Ni Kwa Hisani Ya Azam TV kuwaletea Huduma Karibu... Venginevyo Mungeendelea Kuifatilia EPL Dstv....
Na Wapenzi Wa Laliga Kwa Asilimia 98% Ni wale Walioanza Kupenda Mpira Kuanzia 2009 kwa Kumjua Messi.
Mtaalam umetupia avatar ya Liverpool ila unaulewa mdogo sana kuhusu mpira. EPL sikuhizi EPL imekua kawaida sana. Mm binafsi na familia yangu tunaangaliaga Serie A tu mwaka wa ishirini na nne huu. Ukiangalia takwimu siku hizi watu wanaangalia kilicho bora. Mtu na akili zako timamu huwezi kuangalia Liverpool au arsenal ukaicha mechi ya PSG. Usijisifu unatimu nzuri kwa Maribor na Lokomotiv Moscow.
PSG unangalia akicheza na Nantes au? Maana naona hatuko katika one issue mara league bora tunaongelea team. Unaweza kuwa unaangalia Seria A lakini haina maana ni league bora. Kuna watu wako Vodacom wanatizama hata Yanga na MajiMaji .Mtaalam umetupia avatar ya Liverpool ila unaulewa mdogo sana kuhusu mpira. EPL sikuhizi EPL imekua kawaida sana. Mm binafsi na familia yangu tunaangaliaga Serie A tu mwaka wa ishirini na nne huu. Ukiangalia takwimu siku hizi watu wanaangalia kilicho bora. Mtu na akili zako timamu huwezi kuangalia Liverpool au arsenal ukaicha mechi ya PSG. Usijisifu unatimu nzuri kwa Maribor na Lokomotiv Moscow.