Somo kwa wahafidhina wa Laliga

Somo kwa wahafidhina wa Laliga

Je Timu ya Uengereza yaweza Kucheza Fainali ya UCL?

  • Ndiyo

  • Hapana

Results are only viewable after voting.
Timu za la liga zimelichoka hilo kombe maana miaka mitatu mfululizo wanachukua,fainali mbili zikihusisha timu za la liga ndani ya miaka minne. Msimu huu ni upepo tu umeegemea upande wenu EPL na mtashangaa hatua zinazofuata mnaondolea wote.
Mkuu hz timu za epl hazibebeki utaona zinavyotolewa kwenye mtoano
 
Umemaliza mheshimiwa. Kama hawataelewa basi tena. League bora maana team 20 sasa kweli hakuna wachezaji huko mpaka waje kumwaga pesa huku EPL.

Hapa Ndipo Wanaponimaliza Wale Laliga-Fanboys...... 😀 😀 😀 😀
Kama EPL haina Wachezaji Bora Bali Wachezaji Bora Wapo Spain Kama Wanavyodai! Yanini Barcelona na Real Wawang'ang'anieWachezaji Wa EPL DE GEA, COURTOIS, HAZARD, COUTINHO, HANRY KANE na DELE ALLI??

Si waende tu huko Kwa Kina Malada, Villarreal na Levante Wakachuke Wachezaji bora!!!

Wanashindwa Kufahamu Hiyo Real Kina Alonso, Modric, bale na Ronaldo Walitokea EPL....
 
Kwa hiyo kwa maneno yako wakati Real Madrid waliposubiri miaka 30 kushinda tena CL toka 66 mpaka 98 walikuwa wabovu? Real ni team kubwa hata miaka hiyo japo hawakuweza kuchukua ubingwa. Barca ina history team kubwa wameanza kuchukuwa CL 92 miaka yote zero. CL ni circle tu kila mtu anapita halafu anapotea. League bora ni league ya ushindani ila watu humu tuko katika CL. Ukifika knock out stage hata ukiwa mzuri unaweza ukapigwa na team ya kawaida.
Nikusaidie tu kwamba swali lako lilitakiwe lihusu ubora wa ligi na si Madrid tu kwa kipindi hicho

Bila shaka la liga haikuwa bora kama ilikuwa haiwakilishwi vyema na timu zake kwenye mashindano ya ulaya pamoja na wachezaji wake ktk tuzo ndani ya miaka hiyo 30..
 
LIGI BORA NI YA UINGEREZA KUTOKANA NA USHINAGANI WA TIMU NA TIMU-LIGI KAMA ZA SPAIN,ITALY,GERMANY NA FRANCE NI LIGI AMBAZO ZINA BAADHI YA TIMU BORA NDANI YAKE LAKINI HAIMANISHI LIGI HIZO NI BORA.
 
Kwani Ukitoa Messi na Suarez Ndani Ya Laliga Ni Nani Anayeweza Kusimama na Pogba, Harzad, Coutinho, Mo Salah, Kante na Degea?
Hivi Kama Kwanini Real Wamtake Henry Kane Wakati Spain Kuna Wachezaji Bora Kuliko Yeye?

Kwanini Barcelona Wamtake Coutinho Wakati Spain Kuna Wachezaji Bora Kuliko Yeye? Si Waende tu Malaga au Getafe Wakachukue Mchezaji Mzuri Kuliko Coutinho?

Kwanini Wammezee Mate De Gea Wakati Kina Bilbao Wana Wana Wachezaji Wazuri?

Shoga Miss Ronaldo Wanaume Washammaliza Hamna Kitu... Tayari hapo Nusu ya Image Ya Ligi Yenu imepotea...

Neymar Kaondoka! Tayari Nusu ya image Yenu Nyengine imepotea...

Sasahivi Kabaki Mfalme Wa Wafalme Wa Soka Mchawi anaeunyanyasa Mpira Kama remote Control King Sir His Majesty Emperor Messi Peke Yake Ndiye anayebeba image Ya Ligi Yenu...

Na Akihama Messi tu Spain Nyote Mutarudi EPL manake Hakuna Hata mmoja Kati Yenu anaehamu ya Kumtazama Inaki Williams...

Sasahivi eti Munajikakamua Kuwataka ICONS Wa EPL kina COUTINHO, HARZAD, DE GEA, KANE na DELE ALLI ili muifufue Ligi Yenu inayodidimia...
Mkuu hao wote unaowasema wazur wanatamani kwenda kucheza league bora (laliga) Coutinho na De Gea ni mfano wa watu wanaonganganiwa lkn wanataka kwenda kwenye mpira unaoendana na kiwango Chao
 
Teh teh teh teh teh 😀 😀 😀 Wachezaji Bora kutoka Spain...!!

team-of-the-group-stage_2lu1d0g1c0vy1nye6r19i0npc.png
 
LIGI BORA NI YA UINGEREZA KUTOKANA NA USHINAGANI WA TIMU NA TIMU-LIGI KAMA ZA SPAIN,ITALY,GERMANY NA FRANCE NI LIGI AMBAZO ZINA BAADHI YA TIMU BORA NDANI YAKE LAKINI HAIMANISHI LIGI HIZO NI BORA.
Mkuu hiz timu kama Barcelona na Real ni timu ambazo ni kubwa mno kutokana na investment yake so hata ukizileta epl lazima zitawaacha mbali wenzake kama ilivyo huko laliga lakin haimaanishi zilizobaki ni mbovu kwani sevilla huoni imefanya vizuri sana kwenye europa league. Huko epl timu haziachani sana kwa sababu investment zinakarbiana lakin haimaanishi kwamba ndo zinakuwa bora
 
Kwa Mara Ya Kwanza Yaandikwa Rekodi Kwa Nchi Moja Kuingiza Timu 5 hatua Ya 16 bora Katika UEFA Champion League...

Ligi Kuu Ya EPL nchini Uengereza imefanikiwa Kuingiza Timu 5 kati ya 16 zilizofuzu Katika Hatua ya Last 16 jambo ambalo halijawahi Kufanya na Nchi Yoyote hile Katika Sayari Hii...
Na Nafasi Hizi Tano za Kushiriki Champion League Waingereza Hawakupewa Kwa Upendeleo, Bali Wamezitafuta Kwa Jasho lao.

1) Spurs (Kaongoza Kundi)

2) Man United (Kaongoza Kundi)

3) Man City (Kaongoza Kundi)

4) Liverpool (Kaongoza Kundi)

5) Chelsea (Nafasi Ya Pili)

Na ikumbukwe Kuwa Bingwa Wa Laliga (Real) Katika Kundi Lake Kagalagazwa Na (Spurs) Timu inayoshika Nafasi ya 6 kwenye EPL....

Ni WanaLaliga 2 (Real na Sevilla
) Walikutana na WanaEPL 2 (Spurs na Liverpool) respectively Katika Makundi Yao Lakini Hawakuweza Kufurukuta na Wakaishia Nafasi za Pili kila Mmoja.

Halafu Leo Wanatokea Misukule from Nowhere wanakwambia "LALIGA NI LIGI BORA UKILINGANISHA NA EPL"!!! Yaani Nashindwa Kujenga Picha sijui Ni Majani ya Wapi Wanayovuta hawa Jamaa... 😀😀😀
Mara ya mwisho team ya EPL kuchukua UEFA ni lini?

Na mara ya mwisho sisi wahafidhina kuchukua ni lini?
Toka 2014 hadi Leo tunaibebaga tu alfu unakuja kuimba taarabu kama mke wa mzee yusuph

Note: nyie fuzuni sisi tuchukue ubingwa
 
hivi vitimu vya malikia kwa kujikweza havijambo muda utaongea la muhimu ni subira
 
Kwa jibu hilo nafikiri saa hizi kashaenda kukojoa na kulala...7th December EPL wanasheherekea kuingizia timu 5 hatua ya 16,3rd June LFP watakuwa wanagonga mvinyo na wa kubebe Uefa mara 5 mfululizo.
Mwisho.
 
Bingwa Wa UCL Msimu huu Lazima Atatoka EPL trust me... Hao Laliga Wenu Yeyote Atakaekutana na Timu Ya EPL basi Ndiyo Mwisho Wa Safari Yake...
Waulize, ikiwa Spurs kampiga bingwa mtetezi, nani atasogeza pua kwa Man City, Man U, Chelsea au Liverpool? Msimu EPL wako vizuri hao wababe tuache ushabiki.
 
Hivi bigwa wa FUTUHI ni nani kwa sasa? Sio Manure kweli? maana naona unaponda Uropa League wakati kuna mijitu imewatoa hadi leo mnajitamba hapo.

Ukitaka burudani ya mpira angalia LA LIGA ukitaka kuangalia mboyoyo na kelele nyiiiingi nenda EPL
Epl ndio Ligi tamu. Mpaka uneshinda, unalala na viatu, sio la liga hiyo ni sawa na kombolela. Mechi za ushindani ni RM vs Barca, RM vs ATM, Barca vs ATM, za kawaida Villareal vs RM, Sevilla vs RM, Villareal vs Barca, Sevilla vs Barca, Villareal vs ATM, Sevilla vs ATM Valencia vs RM, Valencia vs Barca, Valencia vs ATM. Nyingine hizo ni nyanya. Uliza EPL.
 
Ndugu yangu Valencia shughuli gani? Ni team ndio mwaka huu imeanza kurudi kwao ndani. Sevilla ni team za misimu tu zinakuja na zikipotea zinapotea vibaya kama deportivo. Athletico circle yao inaisha kama ile ya 1996. Ni team hazina muonekano kama wa Barca na Madrid. La liga ni team mbili tu hizo zingine kama mvua za msimu.
Atleti wamecheza fainali 2 za champions league na la liga moja ndani ya miaka mitatu..
 
Kwani Ukitoa Messi na Suarez Ndani Ya Laliga Ni Nani Anayeweza Kusimama na Pogba, Harzad, Coutinho, Mo Salah, Kante na Degea?
Hivi Kama Kwanini Real Wamtake Henry Kane Wakati Spain Kuna Wachezaji Bora Kuliko Yeye?

Kwanini Barcelona Wamtake Coutinho Wakati Spain Kuna Wachezaji Bora Kuliko Yeye? Si Waende tu Malaga au Getafe Wakachukue Mchezaji Mzuri Kuliko Coutinho?

Kwanini Wammezee Mate De Gea Wakati Kina Bilbao Wana Wana Wachezaji Wazuri?

Shoga Miss Ronaldo Wanaume Washammaliza Hamna Kitu... Tayari hapo Nusu ya Image Ya Ligi Yenu imepotea...

Neymar Kaondoka! Tayari Nusu ya image Yenu Nyengine imepotea...

Sasahivi Kabaki Mfalme Wa Wafalme Wa Soka Mchawi anaeunyanyasa Mpira Kama remote Control King Sir His Majesty Emperor Messi Peke Yake Ndiye anayebeba image Ya Ligi Yenu...

Na Akihama Messi tu Spain Nyote Mutarudi EPL manake Hakuna Hata mmoja Kati Yenu anaehamu ya Kumtazama Inaki Williams...

Sasahivi eti Munajikakamua Kuwataka ICONS Wa EPL kina COUTINHO, HARZAD, DE GEA, KANE na DELE ALLI ili muifufue Ligi Yenu inayodidimia...
Wakati huo huo watu ambao wamekosa namba la liga huwa wanaenda England...

Kumbuka Fabregas na Sanchez..

La liga huwa wanachukua cream tuu kutoka E.P.L kama Suarez, Bale na wengineo wakati E.P.L inachukua waliokosa soko la liga na kuja England..
 
Many U, Spurs, Man City, Liverpool, Chelsea na Arsenan V/S Real na Barcelona

Kuna Watu Vichaa Kweli... Hivi Ligi Yenye Timu Sita za Ushindani Unaifananisha Na Ligi Yenye Timu Mbili za Ushindani??? Ridiculous...

Wacheni Kuifananisha EPL na Mambo ya Kipumbavu!
Brother ukweli mchungu huo.
 
Waulize, ikiwa Spurs kampiga bingwa mtetezi, nani atasogeza pua kwa Man City, Man U, Chelsea au Liverpool? Msimu EPL wako vizuri hao wababe tuache ushabiki.
Mbona unakuwa mwepesi wa kusahau mwanzoni mwa msimu Man U amekula ngap kwa Real??
 
Wadau mimi nampenda sana yule mwanamama waziri wa afya nikionaga anahutubia mimi baadhi ya viungo vya mwili vinasisimka sana, aliyekaribu nae naomba amfikishie salamu zangu!
Una utani na mkuu wa nchi ya Tanzagiza
 
Back
Top Bottom