mwayungi
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,814
- 3,079
Waeleze mtani EPL mdebwedo tuEPL wachumba tu. Kelele nyingi mafanikio sifuri.
Kushinda mapambano sio kushinda Vita. Time will tell, mwezi May sio mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waeleze mtani EPL mdebwedo tuEPL wachumba tu. Kelele nyingi mafanikio sifuri.
Kushinda mapambano sio kushinda Vita. Time will tell, mwezi May sio mbali
Usije kubadilisha ID nasubscribe huu uziBingwa Wa UCL Msimu Lazima Atatoka EPL trust me... Hao Laliga Wenu Yeyote Atakaekutana na Timu Ya EPL basi Ndiyo Mwisho Wa Safari Yake...
EPL au EFL?Man United msimu uliopita kachukua EFL na Europa. Kuwa makini na maandishi yako.
viwango vibovu sio vinavyo kalibiana.... hakuna ushindani ni kelele nyingi tu hamna kitu pale...E.P.L ni ligi yenye ushindani maana ina timu nyingi zenye viwango vinavyokaribiana...
La liga ni ligi ya kibepari, kuna timu bora kabisa ambazo hata uzipeleke wapi lazima zitajipigia tuu watu na pia kuna timu zingine nzuri kama sevilla , atletico madrid na valencia ambazo timu za England zikikutana nazo huwa zinaijua shughuli yao
Acha porojo nimekwambia njoo tuandikishane huo mkatabaWachache sana tulioiamini Madrid kama ingeweza win Uefa back to back last season....
By the way Madrid hana cha kupoteza hata wakishindwa,ukizingatia bado ana kikosi kile kile cha back to back, akishinda tena kuna haja ya yeye kashiriki kombe lisilo na ushindani na kikosi kimoja tu???
Kwa season 10 ilopita, kombe la UEFA limeenda spain mara 6, barca mara 2 na real mara 4.
Mara ya mwisho mchezaj bora kutoka epl ilkua lin??
Statistics ndo zinaongea...sio maneno kama hayo uloandika..leta stats broWewe Unaweweseka Na Ndiyomana Hujui Hapa Watu Wanajadili nini..
Huu uzi ni matokeo ya furaha ya Liverpool kushinda 7-0. Otherwise kwa kuwa muhusika hataki kujadili yaliyopita isipokuwa yanayojiri msimu huu, well and good. Tukutane naye May tuone 5 EPL vs 3 La LIGA vs 2 (SERIE A) Vs 1 (other leagues)6.Mara ya mwisho bingwa wa champions league kutoka England ni 2012..
Kwahiyo kwa misimu 5 champions league imechukuliwa na nchi nyingine..
Kati ya mara hizo 5 , mara 4 ubingwa umeenda la liga, na moja ujerumani...
Hapo usiulize katika mfululizo huo la liga wamekutana fainali wenyewe mara ngapi, nusu fainali mara ngapi wanakutana wao tuu wanapunguzana..
Uliza wafungaji bora wa uefa champions league wanatoka ligi gani kwa miaka 10 iliyopita???
Wachezaji bora wa hiyo Uefa, kuanzia mabeki , viungo hadi washambuliaji wanatoka ligi gani?
Ukishamaliza kujiuliza na kupata majibu utajua mwenyewe ligi bora ni ipi..
Tatizo England mafanikio kidogo mdomo mwingi, just imagine harry kane angekuwa ana goli 9 za kama Ronaldo sahizi au Manchester united wangekutana fainali champions league na liverpool mara mbili ndani ya miaka mitatu kama atletico na real madrid.. uone jinsi wangepiga makelele
EPL au EFL?
sevilla kachukua mara ngingi pia europa itabidi amuongeze ktk idadi ya timu zinazo compete pale laliga... bila kusahau wakina AT, AB, VL, VR nk...
celte ana mfunga sana barca huyo vipi.... nae...
Kaandikishiane na wajinga wenzio....Acha porojo nimekwambia njoo tuandikishane huo mkataba
Tatizo Letu Hamujui Tofauti Ya LIGI BORA, na TIMU BORA...
Yawezekana LIGI IKAWA MBOVU kama LALIGA lakini Ndani Yake Mukawa na TIMU BORA kama Zilivyo REAL na BARCA kutokana na uwekezaji Wao...
Yawezekana LIGI IKAWA MBOVU kama ilivyo FRANCE lakini Mukawa na TIMU BORA kama ilivyo PSG kutokana na uwekezaji wake...
Yawezekana Ligi IKAWA MBOVU kama ilivyo Ujerumani lakini Ndani Yake Mukawa na TIMU BORA kama ilivyo Beryan kutokana na Uwekezaji wake...
Kwahiyo Jifunzeni Kudadavua Mambo...
EPL NI BEST LEAGUE IN THE WORLD
Wanashindwa kutofautisha kati ya UBora na Umaarufu.......EPL ni maarufu na kupitia hilo imeweza kuvutia wachezaji wengi baada ya matangazo ya TV kuwaingizia mabilioni ya fedha.Mbona unauliza maswali mepesi...
La liga kati ya miaka mitano 5 imechukua ubingwa mara 4, we unaleta mifano hata hailingani, eti fc porto mara inter, nambie ligi yao ndani miaka mitano ilichukua mara ngapi..
Wachezaji bora wote wa dunia wapo la liga, mataji yapo la liga, kigezo chako cha ubora ni kipi?
Ndugu yangu Valencia shughuli gani? Ni team ndio mwaka huu imeanza kurudi kwao ndani. Sevilla ni team za misimu tu zinakuja na zikipotea zinapotea vibaya kama deportivo. Athletico circle yao inaisha kama ile ya 1996. Ni team hazina muonekano kama wa Barca na Madrid. La liga ni team mbili tu hizo zingine kama mvua za msimu.E.P.L ni ligi yenye ushindani maana ina timu nyingi zenye viwango vinavyokaribiana...
La liga ni ligi ya kibepari, kuna timu bora kabisa ambazo hata uzipeleke wapi lazima zitajipigia tuu watu na pia kuna timu zingine nzuri kama sevilla , atletico madrid na valencia ambazo timu za England zikikutana nazo huwa zinaijua shughuli yao
Kwa hiyo kwa maneno yako wakati Real Madrid waliposubiri miaka 30 kushinda tena CL toka 66 mpaka 98 walikuwa wabovu? Real ni team kubwa hata miaka hiyo japo hawakuweza kuchukua ubingwa. Barca ina history team kubwa wameanza kuchukuwa CL 92 miaka yote zero. CL ni circle tu kila mtu anapita halafu anapotea. League bora ni league ya ushindani ila watu humu tuko katika CL. Ukifika knock out stage hata ukiwa mzuri unaweza ukapigwa na team ya kawaida.Hatuzungumzii timu au ligi zinazoshinda Uefa kwa ngekewa au mara moja moja tu
tunazungumzia sure team ambazo kila siku zipo tunazungumzia sure ligi ambazo zenyewe kila msimu kama sio mabingwa basi semi final inawahusu kaanzia Uefa mpk Europe wacha kuwaonea Porto na Inter Milan ambao tangu washinde Uefa miaka kibao mpk sasa bado wapo na hangover za ubingwa
Ukija kwa bayern mi tangu nianze kushabikia mpira 2002 nimeona bayern kashinda Uefa mara moja tu na ni mara 2 tu kuona timu za bundes kufika fainali kwahiyo usijifiche kwenye kichaka cha timu zilizokuwa na takwimu duni na ndo maana ligi zao hazijawahi kuwa bora...