Kwani Ukitoa Messi na Suarez Ndani Ya Laliga Ni Nani Anayeweza Kusimama na Pogba, Harzad, Coutinho, Mo Salah, Kante na Degea?
Hivi Kama Kwanini Real Wamtake Henry Kane Wakati Spain Kuna Wachezaji Bora Kuliko Yeye?
Kwanini Barcelona Wamtake Coutinho Wakati Spain Kuna Wachezaji Bora Kuliko Yeye? Si Waende tu Malaga au Getafe Wakachukue Mchezaji Mzuri Kuliko Coutinho?
Kwanini Wammezee Mate De Gea Wakati Kina Bilbao Wana Wana Wachezaji Wazuri?
Shoga Miss Ronaldo Wanaume Washammaliza Hamna Kitu... Tayari hapo Nusu ya Image Ya Ligi Yenu imepotea...
Neymar Kaondoka! Tayari Nusu ya image Yenu Nyengine imepotea...
Sasahivi Kabaki Mfalme Wa Wafalme Wa Soka Mchawi anaeunyanyasa Mpira Kama remote Control King Sir His Majesty Emperor Messi Peke Yake Ndiye anayebeba image Ya Ligi Yenu...
Na Akihama Messi tu Spain Nyote Mutarudi EPL manake Hakuna Hata mmoja Kati Yenu anaehamu ya Kumtazama Inaki Williams...
Sasahivi eti Munajikakamua Kuwataka ICONS Wa EPL kina COUTINHO, HARZAD, DE GEA, KANE na DELE ALLI ili muifufue Ligi Yenu inayodidimia...