Somo kwa wahafidhina wa Laliga

Somo kwa wahafidhina wa Laliga

Je Timu ya Uengereza yaweza Kucheza Fainali ya UCL?

  • Ndiyo

  • Hapana

Results are only viewable after voting.
Kwa season 10 ilopita, kombe la UEFA limeenda spain mara 6, barca mara 2 na real mara 4.
Mara ya mwisho mchezaj bora kutoka epl ilkua lin??
Wewe sasa hapa tunaongelea league bora au mchezaji bora? Kwa hiyo leo Neymar akiwa mchezaji bora basi france ni bora. Tatizo hapa kuna watu wameanza kuangalia hizi team juzi. Hao Real walikaa miaka 30 kuja kushinda tena CL. 1966 mpaka 1998.
 
Technical hakuna ubora kwenye ligi ya EPL.....
1.British Football Imperialism through Media Empirialism ndicho kilichowabeba EPL walikuwa wajanja kutoa ligi yao ionekane mataifa mengine kwa muda sahihi
2.EPL ilivutia mataifa mengi hasa baada ya kukaribisha wachezaji wa mataifa mbalimbali tena wakiwa hawana ubaguzi wa kiwango cha juu kama Italy,German na hata Wahispania wenyewe

Mataifa mengi Tanzania ikiwemo yalikuwa hayana option ya kuangalia mpira hivyo Uingereza walijipatia umaarufu.
Licha ya La Liga kuwa bora mataifa mengi hasa ya Africa mashariki hayakupata nafasi ya kuangalia mechi za La Liga kutokana na muda wa kick off lakini walitambua hili na ndio maana hata watanzania sasa tumeanza kufuatilia la liga.

Wanashindwa kutofautisha kati ya UBora na Umaarufu.......EPL ni maarufu na kupitia hilo imeweza kuvutia wachezaji wengi baada ya matangazo ya TV kuwaingizia mabilioni ya fedha.
Wewe ndio rudia history. Watu wamenza kuangalia league ya German na Italy kabla ya EPL. Kulikuwa na kitu kinaitwa Football made in Germany. Leo EPL wako wapi na Germany wako wapi. Kizuri kinajiuza. Real na Barca sio team za jana sababu leo watu wanaangalia sababu La liga sio exclusice hata Azam wanaonesha na Dstv. Epl ni very expensive ndio maana ni Dstv tu.
 
Many U, Spurs, Man City, Liverpool, Chelsea na Arsenan V/S Real na Barcelona

Kuna Watu Vichaa Kweli... Hivi Ligi Yenye Timu Sita za Ushindani Unaifananisha Na Ligi Yenye Timu Mbili za Ushindani??? Ridiculous...

Wacheni Kuifananisha EPL na Mambo ya Kipumbavu!
We umevuta bangi kweli,hivi unaiachaje Atletico Madrid kwenye timu kubwa na kuiweka Asernal na Liverpool? Na kwa taarifa yako, Atletico Madrid imefanya vibaya makusudi ili iende kubeba Europa league.
 
We umevuta bangi kweli,hivi unaiachaje Atletico Madrid kwenye timu kubwa na kuiweka Asernal na Liverpool? Na kwa taarifa yako, Atletico Madrid imefanya vibaya makusudi ili iende kubeba Europa league.
[emoji23] [emoji23] Athletico team kubwa kuliko Liver na Arsenal. Humu naona labda tunajadiliana na watu wamefungua macho jana kuona hizi team. Hao Madrid tu na Barca kafungue history uone ni mara ngapi wamecheza na Liver na uone matokeo ni mara ngapi Liver alishinda au kufungwa na draw halafu utajuwa.
 
Kwa hali ilivyo nusu fainali zitaingia sio chini ya timu tatu.
Fainali zitaingia EPL tu
 
88ab2495b04ec36609aeb0d5453618c1.jpg

Laliga Wana mambo ya kipuuzu
 
Raha zamani CL ilikuwa ni mabingwa tu wa league hakuna mtu wa pili na ilikuwa ni knock out tu hakuna makundi wala nini ilikuwa ni ngumu kuliko hivi sasa, leo unaweza kupangwa kundi bovu ukishinda kundi unapata mteremko mpaka nusu final au final. Warudishe old style bingwa tu japo najuwa hawezi sababu imekuwa biashara zaidi. Yaani toka round ya kwanza ilikuwa ni wababe tu mechi 2 uko nje.
 
We umevuta bangi kweli,hivi unaiachaje Atletico Madrid kwenye timu kubwa na kuiweka Asernal na Liverpool? Na kwa taarifa yako, Atletico Madrid imefanya vibaya makusudi ili iende kubeba Europa league.

Teh Teh teh teh teh 😀 😀 😀 eti Atletico Timu Kubwaaaaaaaa..... Kwa Kipi? Kucheza Final 2 bila ya Kombe ama?

Jamaa Baada Ya Kupata King'amuzi Cha Azam Mwaka 2014 akaanza Kutazama Mpira Akamshitukia Atletico Anacheza Final basi anaona Ni Bonge la Timu!!!!! Ungeliiona Deportivo Je iliyompiga 4 kwa Mtungi AC Milan ungelisemaje?
 
Kinachoongelewa ni mwenendo wa timu zote 5 kuingia 16 bora tena 4 zikiongoza makundi huoni ni jambo kubwa ?

Umezoea kukariri tena msimu huu Arsenal hayupo hivyo usitegemee timu ya EPL kunyanyaswa na Bayern wala Barca
Comment yako inaonyesha ni jinsi gani hujui mpira!

Hivi unajua mara ya mwisho Chelsea wanashinda UEFA walikua na hali gani?

Unajua walikua wangapi kwenye msimamo wa ligi?

Kaa utulie, utanyolewa soon!

Eti Barca size yake ni Liverpool, unaongelea Liverpool waliomshindwa sevilla?

Ni kawajda ya mashabiki wa team za EPL kuongea hovyo, na hamjui mpira.

Mtarudishwa mapangoni muda si mrefu!
 
Mashabik wa epl mnalazimisha sana mambo ila huwez kuwa na ligi bora kama huna wachezaji bora, ukweli ni kwamba laliga inaifunika epl

Kwani Ukitoa Messi na Suarez Ndani Ya Laliga Ni Nani Anayeweza Kusimama na Pogba, Harzad, Coutinho, Mo Salah, Kante na Degea?
Hivi Kama Kwanini Real Wamtake Henry Kane Wakati Spain Kuna Wachezaji Bora Kuliko Yeye?

Kwanini Barcelona Wamtake Coutinho Wakati Spain Kuna Wachezaji Bora Kuliko Yeye? Si Waende tu Malaga au Getafe Wakachukue Mchezaji Mzuri Kuliko Coutinho?

Kwanini Wammezee Mate De Gea Wakati Kina Bilbao Wana Wana Wachezaji Wazuri?

Shoga Miss Ronaldo Wanaume Washammaliza Hamna Kitu... Tayari hapo Nusu ya Image Ya Ligi Yenu imepotea...

Neymar Kaondoka! Tayari Nusu ya image Yenu Nyengine imepotea...

Sasahivi Kabaki Mfalme Wa Wafalme Wa Soka Mchawi anaeunyanyasa Mpira Kama remote Control King Sir His Majesty Emperor Messi Peke Yake Ndiye anayebeba image Ya Ligi Yenu...

Na Akihama Messi tu Spain Nyote Mutarudi EPL manake Hakuna Hata mmoja Kati Yenu anaehamu ya Kumtazama Inaki Williams...

Sasahivi eti Munajikakamua Kuwataka ICONS Wa EPL kina COUTINHO, HARZAD, DE GEA, KANE na DELE ALLI ili muifufue Ligi Yenu inayodidimia...
 
Comment yako inaonyesha ni jinsi gani hujui mpira!

Hivi unajua mara ya mwisho Chelsea wanashinda UEFA walikua na hali gani?

Unajua walikua wangapi kwenye msimamo wa ligi?

Kaa utulie, utanyolewa soon!

Eti Barca size yake ni Liverpool, unaongelea Liverpool waliomshindwa sevilla?

Ni kawajda ya mashabiki wa team za EPL kuongea hovyo, na hamjui mpira.

Mtarudishwa mapangoni muda si mrefu!

Nadhani Umesahau Kuwa Barcelona ikiwa na Mastaa Wake Wote Last Pre-Season ilikula NNE kwa Mtungi kutoka Liverpool...
 
Kwani Ukitoa Messi na Suarez Ndani Ya Laliga Ni Nani Anayeweza Kusimama na Pogba, Harzad, Coutinho, Mo Salah, Kante na Degea?
Hivi Kama Kwanini Real Wamtake Henry Kane Wakati Spain Kuna Wachezaji Bora Kuliko Yeye?

Kwanini Barcelona Wamtake Coutinho Wakati Spain Kuna Wachezaji Bora Kuliko Yeye? Si Waende tu Malaga au Getafe Wakachukue Mchezaji Mzuri Kuliko Coutinho?

Kwanini Wammezee Mate De Gea Wakati Kina Bilbao Wana Wana Wachezaji Wazuri?

Shoga Miss Ronaldo Wanaume Washammaliza Hamna Kitu... Tayari hapo Nusu ya Image Ya Ligi Yenu imepotea...

Neymar Kaondoka! Tayari Nusu ya image Yenu Nyengine imepotea...

Sasahivi Kabaki Mfalme Wa Wafalme Wa Soka Mchawi anaeunyanyasa Mpira Kama remote Control King Sir His Majesty Emperor Messi Peke Yake Ndiye anayebeba image Ya Ligi Yenu...

Na Akihama Messi tu Spain Nyote Mutarudi EPL manake Hakuna Hata mmoja Kati Yenu anaehamu ya Kumtazama Inaki Williams...

Sasahivi eti Munajikakamua Kuwataka ICONS Wa EPL kina COUTINHO, HARZAD, DE GEA, KANE na DELE ALLI ili muifufue Ligi Yenu inayodidimia...
Umemaliza mheshimiwa. Kama hawataelewa basi tena. League bora maana team 20 sasa kweli hakuna wachezaji huko mpaka waje kumwaga pesa huku EPL.
 
Nadhani Umesahau Kuwa Barcelona ikiwa na Mastaa Wake Wrote Last Pre-Season ilikula NNE kwa Mtungi kutoka Liverpool...
Sio pre-season tu akatizame hata history ya Barca na Liver tumewapiga mara ngapi tena ile Barca ya kina Gaucha na Eto'o
 
Mnaweza kuwa na ligi bora na nzuri, Lakini vilabu vyenu vinapokuja usiku wa ulaya msiwe bora mbele ya
1. Barcelona
2. Real Madrid
3. Psg
4. Bayern Munich na
5. Juventus Turin.
Vilabu vyenu vikivuka hayo maeneo mtakuwa bora na wazuri.

Ila kwa sasa laliga ndio mpango mzima. Epl ni kelele na mi promo kibao.
 
Mimi Nina Uhakika na Ninajiamini Kuwa Ninatamka Wazi CL marahii inatua Uengereza! isipokuja basi Salary Yangu Ya Miezi 6 ya Kazini Naichoma Moto Hadharani..

Nani Yuko Tayari Tubeti?
Hii post inaonyesha wazi wewe ni MTU wa aina gani!
 
Many U, Spurs, Man City, Liverpool, Chelsea na Arsenan V/S Real na Barcelona

Kuna Watu Vichaa Kweli... Hivi Ligi Yenye Timu Sita za Ushindani Unaifananisha Na Ligi Yenye Timu Mbili za Ushindani??? Ridiculous...

Wacheni Kuifananisha EPL na Mambo ya Kipumbavu!
Ushindani unakuja kutokana na kukosekana timu nzuri. hebu tumuingize Real Madrid EPL tuone kama patakua na ushindani au one horse race.
 
Burudani gani iliyopo Laliga?
Kukaa Kwenye TV kabla Mpira Haujaanza ukawa unauhakika Barcelona anashinda Ndiyo Burudani au?

Ligi isiyo na Ushindani ya Timu Mbili Real
na Barcelona Haiwezi kuitwa Ligi Bora...
Bali Kuna Mechi Bora tu ya El Clasico...
Vipi kwani huna uhakika kama Man city anashinda? Tunachokua hatujui ningapi kama 5 au 6
 
Ndugu yangu Valencia shughuli gani? Ni team ndio mwaka huu imeanza kurudi kwao ndani. Sevilla ni team za misimu tu zinakuja na zikipotea zinapotea vibaya kama deportivo. Athletico circle yao inaisha kama ile ya 1996. Ni team hazina muonekano kama wa Barca na Madrid. La liga ni team mbili tu hizo zingine kama mvua za msimu.
Unazungumzia kupotea???? Haha Arsenal vp?? Liverpool nayo??? Man U tangu aondoke Ferguson vp??? Acha kutuchekesha hapa
 
Back
Top Bottom