Somo kwa wahafidhina wa Laliga

Je Timu ya Uengereza yaweza Kucheza Fainali ya UCL?

  • Ndiyo

  • Hapana


Results are only viewable after voting.
Wengi wataaga kwenye huu mtoano..
Bingwa anaweza kutoka huko huko La liga
 
Unamaanisha Epl uchwara ni ligi bora kwa hatua ya makundi au?

Hebu weka akiba ya maneno, robo finali ndio UCL inapoanzia
 
Kwani Msimu Huu Tayari imeshachukuliwa??
Mimi naongea this season Kuwa EPL na timu zake hazishikiki...
Wewe Kama unaongelea Miaka ya 1965s basi Mimi hainuhusu..
***** msimu sevilla kamulambisha man u matapishi, kudadeki Barcelona kamnyoa Chelsea, hiyo ndiyo LALIGA THE BEST LEAGUE IN THE WORLD. Eti timu gani hazishikiki? Nenda kachambue ndondo naona ndio ilkuwa saizi yako, vitu kama hivi vinahitaji akili kubwa.
 
Pia mkumbushe kua sevilla aliemnyoa Man U anashika nafasi ya saba Laliga!
 
Hivi chelsea katolewa na timu ya bundesiliga man u katolewa na timu ya vpl??
Haya nitajie Timu ya La Liga iliyotolewa na katimu cha EPL
 
Hivi chelsea katolewa na timu ya bundesiliga man u katolewa na timu ya vpl??
Haya nitajie Timu ya La Liga iliyotolewa na katimu cha EPL


Labda Kajikumbushe Kuwa Atletico inayoshika Nafasi Ya Pili Laliga ilishindwa Hata Kuingia 16 bora mbele ya Chelsea anayeshika Nafasi Ya 5 EPL Wakati walikuwa Kundi Moja.
 
Mkuu naamini unajutia huu upupu ulioandika!


Nijutie Kitu Gani?
Kama Man city na Liverpool zisingekutanishwa Pamoja Kwenye Robo basi Zote Mbili Zilikuwa Zinatinga Nusu Fainali.

Hata Barca na Real zingekutanishwa Basi Moja ingelitoka.
 
Beyern Munich vs r madrid and barca vs liver pool and vise.versa
 
Labda Kajikumbushe Kuwa Atletico inayoshika Nafasi Ya Pili Laliga ilishindwa Hata Kuingia 16 bora mbele ya Chelsea anayeshika Nafasi Ya 5 EPL Wakati walikuwa Kundi Moja.
Hhaha! Mkuu huu uchambuzi wa kuangalia timu ni ya ngapi kwenye ligi yao then ndo inadetermine performance UEFA ulishapitwaga na wakati ni uchambuzi wa mwaka 47! By the way mimi ni shabiki wa Real Madrid!
 
Mkuu baada ya Man u kupigwa na sevilla nafikiri ulijificha kwenye pango mpaka sasa hivi. Maskini akipata matako ulia mbwata.
 
Alafu wewe ukisema timu zenye ushindani sijui unatumia kigezo gani? Yaani mpaka sasa hivi Asernal na Liverpool bado unaziweka kwenye kundi la timu zenye ushindani Ulaya? Liverpool tu yenyewe msimu huu imebahatisha bahatisha tu.
 
Sitashangaa pia kuona kikombe kikienda Laliga au fainali wakiingia laliga tupu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona vile sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…