[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na majibu tumeyaona gemu kati ya Chelsea na Barcelona mkuuBingwa Wa UCL Msimu huu Lazima Atatoka EPL trust me... Hao Laliga Wenu Yeyote Atakaekutana na Timu Ya EPL basi Ndiyo Mwisho Wa Safari Yake...
Nazani muda ushaongea.....Sevilla kamgonga Man U na Barcelona kamgonga ChelseaMany U, Spurs, Man City, Liverpool, Chelsea na Arsenan V/S Real na Barcelona
Kuna Watu Vichaa Kweli... Hivi Ligi Yenye Timu Sita za Ushindani Unaifananisha Na Ligi Yenye Timu Mbili za Ushindani??? Ridiculous...
Wacheni Kuifananisha EPL na Mambo ya Kipumbavu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeongea upupuKinachoongelewa ni mwenendo wa timu zote 5 kuingia 16 bora tena 4 zikiongoza makundi huoni ni jambo kubwa ?
Umezoea kukariri tena msimu huu Arsenal hayupo hivyo usitegemee timu ya EPL kunyanyaswa na Bayern wala Barca
Umeongea upupu mtupu, mda ushaongea tayariBack-to-Back??
Ukiongelea back to back Hata Uengereza Ni Timu Mbili Zimeshawahi Kuchukua CL back to back rudia Historia uone.. Lakini Hapa Mimi sipo kihistoria Bali Naongelea Wakati Uliopo na Kinachoendelea...
Kwa Wakati Huu Chukua Timu 6 za juu za Laliga na Timu 6 za Juu za EPL halafu zichezeshe Uone Ukitoa Barcelona Kama Yupo Mwengine Atakayeweza Kushinda Hata Mechi Moja...
Achana na Historia Kubali Ukweli Kuwa EPL Kwa sasa ipo Juu tu...
Germany:
Timu ya Ushindani Ni Moja Beryan Pekee...
France:
Timu Ya Ushindani Ni Moja PSG Pekee...
Italy:
Timu ya Ushindani Ni moja Juventus Pekee....
Spain:
Timu za Ushindani Ni Mbili Real na Barcelona Pekee....
England:
Timu za Ushindani Ni 6:
1) Liverpool
2) Man United
3) Chelsea
4) Man City
5) Spurs
6) Arsenal
Halafu hapo still mtu anapinga ubora Wa EPL!! Jamani Hizi Akili za WaTZ zipo kichwani Kweli????
Hakika NYANI akikalia UPUPU msitu mzima utatambua [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu baada ya Man u kupigwa na sevilla nafikiri ulijificha kwenye pango mpaka sasa hivi. Maskini akipata matako ulia mbwata.
Bila shaka utakuwa umedandia uzi, nenda kasome tangu mwanzoWaoga nyinyi[emoji16][emoji16][emoji16]
Mnasubiria matokeo tayari ndo mnakuja kujibu.Mngemshambulia mleta uzi tangu 2017
Liver na City zisingekutana zikakutanishwa na timu nyingine zote zingetoka 😕 😀 😀 😀Nijutie Kitu Gani?
Kama Man city na Liverpool zisingekutanishwa Pamoja Kwenye Robo basi Zote Mbili Zilikuwa Zinatinga Nusu Fainali.
Hata Barca na Real zingekutanishwa Basi Moja ingelitoka.
HAWA EPL HV BDO WANAIPONDA LA LIGA? NA MNA BAHATI, ROBO FAINALI BILA KUKUTANISHWA WENYEWE KWA WENYEWE TIMU ZOTE ZA EPL ZINGEISHIA ROBO
Hawana Data Ni Huo Ubishi tu
Liver na City zisingekutana zikakutanishwa na timu nyingine zote zingetoka 😕 😀 😀 😀
Huyu mleta uzi tulishamhabarisha from word go lakini alizidiwa na mahaba kuliko uhalisia,hata kama ana mapenzi na ushabiki na EPL linapokuja suala la kulinganisha viwango unazi angeweka pembeni akawa realistic. Matokeo yake sasa ameukimbia uzi aliouanzisha mwenyewe.
Liver na City zisingekutana zikakutanishwa na timu nyingine zote zingetoka 😕 😀 😀 😀