Somo kwa wahafidhina wa Laliga

Somo kwa wahafidhina wa Laliga

Je Timu ya Uengereza yaweza Kucheza Fainali ya UCL?

  • Ndiyo

  • Hapana


Results are only viewable after voting.
Bingwa Wa UCL Msimu huu Lazima Atatoka EPL trust me... Hao Laliga Wenu Yeyote Atakaekutana na Timu Ya EPL basi Ndiyo Mwisho Wa Safari Yake...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na majibu tumeyaona gemu kati ya Chelsea na Barcelona mkuu
 
Many U, Spurs, Man City, Liverpool, Chelsea na Arsenan V/S Real na Barcelona

Kuna Watu Vichaa Kweli... Hivi Ligi Yenye Timu Sita za Ushindani Unaifananisha Na Ligi Yenye Timu Mbili za Ushindani??? Ridiculous...

Wacheni Kuifananisha EPL na Mambo ya Kipumbavu!
Nazani muda ushaongea.....Sevilla kamgonga Man U na Barcelona kamgonga Chelsea
 
Kinachoongelewa ni mwenendo wa timu zote 5 kuingia 16 bora tena 4 zikiongoza makundi huoni ni jambo kubwa ?

Umezoea kukariri tena msimu huu Arsenal hayupo hivyo usitegemee timu ya EPL kunyanyaswa na Bayern wala Barca
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeongea upupu
 
Back-to-Back??
Ukiongelea back to back Hata Uengereza Ni Timu Mbili Zimeshawahi Kuchukua CL back to back rudia Historia uone.. Lakini Hapa Mimi sipo kihistoria Bali Naongelea Wakati Uliopo na Kinachoendelea...

Kwa Wakati Huu Chukua Timu 6 za juu za Laliga na Timu 6 za Juu za EPL halafu zichezeshe Uone Ukitoa Barcelona Kama Yupo Mwengine Atakayeweza Kushinda Hata Mechi Moja...

Achana na Historia Kubali Ukweli Kuwa EPL Kwa sasa ipo Juu tu...

Germany:
Timu ya Ushindani Ni Moja Beryan Pekee...

France:
Timu Ya Ushindani Ni Moja PSG Pekee...

Italy:
Timu ya Ushindani Ni moja Juventus Pekee....

Spain:
Timu za Ushindani Ni Mbili Real na Barcelona Pekee....

England:
Timu za Ushindani Ni 6:
1) Liverpool

2) Man United

3) Chelsea

4) Man City

5) Spurs

6) Arsenal

Halafu hapo still mtu anapinga ubora Wa EPL!! Jamani Hizi Akili za WaTZ zipo kichwani Kweli????
Umeongea upupu mtupu, mda ushaongea tayari
 
Mkuu baada ya Man u kupigwa na sevilla nafikiri ulijificha kwenye pango mpaka sasa hivi. Maskini akipata matako ulia mbwata.
Hakika NYANI akikalia UPUPU msitu mzima utatambua [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Waoga nyinyi[emoji16][emoji16][emoji16]
Mnasubiria matokeo tayari ndo mnakuja kujibu.Mngemshambulia mleta uzi tangu 2017
 
Nijutie Kitu Gani?
Kama Man city na Liverpool zisingekutanishwa Pamoja Kwenye Robo basi Zote Mbili Zilikuwa Zinatinga Nusu Fainali.

Hata Barca na Real zingekutanishwa Basi Moja ingelitoka.
Liver na City zisingekutana zikakutanishwa na timu nyingine zote zingetoka 😕 😀 😀 😀
 
Yani hawa mashabiki wa EPL wanashabikia vitu wasivyovijua. Labda mniambia EPL ni bora kwenye brand.
Lakini kimpira bado sana. Angalia saizi hakuna hata referee aliteuliwa kuchezesha WC kutoka EPL kama sijakosea. Afu ligi mnayosema bora imeshindwa kutoa mchezaji bora kwa miaka karibia kumi nw. Hata kwenye First eleven ya FIFA sikumbki kwa Mara ya mwisho ilikua lini wachezaji kutoka Epl. Afu bado mnasema ndo ligi bora [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mashabiki wa EPL wanasema timu za LA LIGA zinanunua wachezaji kutoka EPL, yaa zinanunua coz ni heshima na fahari kucheza katika ligi ambayo ina timu bora kabisa ulimwenguni, timu zenye mafanikio lukuki, halfu cha ajabu hawajui kabisa wachezaji kama DAVID DEGEA, ANDRE HERRERA, DAVID SILVA, SERGIO KUN AGUERO, NICOLAS OTAMEND, AYMERIC LAPORTE, DIEGO COSTA, FERINANDO TORES, HECTOR BELLERIN, RADAMEL FALCAO, SANT CARZOLA, CESCI FARBGES, CLAUDIO BRAVO, ALBERTO MORENO, .......List ni ndefu sana wadau hawa wote wanacheza ama wameshawahi kucheza EPL na wote hawa kwa namna moja ama nyingine wameshawahi kucheza LA LIGA, sasa kwanini mseme kwamba LA LIGA inanunua wachezaji wazuri kutoka EPL kwani hao waliotoka LA LIGA are not world class players acheni lolongo mmeshindwa kushindana kwa sababu mnakutana na timu bora kuliko nyie.
 
Yaani timu za EPL zishukuru zimekutanishwa robo final angalau mojawapo ina uhakika wa kwenda nusu, zingetawanywa hizo ungekuwa mwisho hapooooooo
 
Huyu mleta uzi tulishamhabarisha from word go lakini alizidiwa na mahaba kuliko uhalisia,hata kama ana mapenzi na ushabiki na EPL linapokuja suala la kulinganisha viwango unazi angeweka pembeni akawa realistic. Matokeo yake sasa ameukimbia uzi aliouanzisha mwenyewe.
 
Huyu mleta uzi tulishamhabarisha from word go lakini alizidiwa na mahaba kuliko uhalisia,hata kama ana mapenzi na ushabiki na EPL linapokuja suala la kulinganisha viwango unazi angeweka pembeni akawa realistic. Matokeo yake sasa ameukimbia uzi aliouanzisha mwenyewe.


Hamna Aliyeukimbia Uzi Punguza Kujishauwa! Hebu Fatilia Uone nilivyo Active na Uzi Huu.
Ila si Kila Pumba inayotupiwa Hapa Ninalazimika Kuijibu.
 
Liver na City zisingekutana zikakutanishwa na timu nyingine zote zingetoka 😕 😀 😀 😀

Semi Final Hakutakuwa Na Mkutano Wa Timu Za Kiingereza! Ninakuomba uje urudi Tena Hapa useme Tena Maneno Haya.
 
Back
Top Bottom