Ligi yenye ushindani wa timu sita kati ya timu 20? timu muja ina shinda zaidi ya michezo 20 mfululizo una kuja kusema kuna ushindani EPL? au una kuja kuleta upenzi na ushabiki bila fact....Many U, Spurs, Man City, Liverpool, Chelsea na Arsenan V/S Real na Barcelona
Kuna Watu Vichaa Kweli... Hivi Ligi Yenye Timu Sita za Ushindani Unaifananisha Na Ligi Yenye Timu Mbili za Ushindani??? Ridiculous...
Wacheni Kuifananisha EPL na Mambo ya Kipumbavu!
Mapenzi na unazi uwa ni tatizo siku zote... una mkataza mwenzio kukalili historia na kudai upo una simama ktk wakati uliopo... yeye kwa hoja yako ameenda mbali zaidi na kusema kuwa hatoshangaa kwa wakt ujao kuwa kombe likaenda laliga...
Punguza unazi na Uliver... ukijua kwanini na vigezo vya kuwa ligi bora utaelewa... na ukielewa vigezo vya ligi yenye ushindani utaelewa zaidi...
Historia haiepukiki katk dunia ya sasa hata itakayo kuja kama itakuwepo... historiaa ni sehemu ya maisha na ndio maana tuna bible, misahafu, na tuna soma kwa kufanya reference ya vilivyo tokea ili kuweza kuona kama kuna uitaji wa sasa na baadae na nini kifanyike kupitia hizo historia....
Ligi yenye ushindani wa timu sita kati ya timu 20? timu muja ina shinda zaidi ya michezo 20 mfululizo una kuja kusema kuna ushindani EPL? au una kuja kuleta upenzi na ushabiki bila fact....
Sijaona timu ya kuchukua UEFA kutoka England
Kipimo cha Barca na Madrid kuwa bora Duniani ni vile ambavyo wananyanyasa timu nyingine za ulaya wanapokutana nazo Uefa...Burudani gani iliyopo Laliga?
Kukaa Kwenye TV kabla Mpira Haujaanza ukawa unauhakika Barcelona anashinda Ndiyo Burudani au?
Ligi isiyo na Ushindani ya Timu Mbili Real na Barcelona Haiwezi kuitwa Ligi Bora...
Bali Kuna Mechi Bora tu ya El Clasico...
Wachezaj bora wa dunia in 10 years wametoka nch gani? Piga mstari!
Unasemaje timu za ushindan ni Madrid na Barcelona wakat unaona Madrid kwenye Laliga iko nafasi ya nne?? Wakat huo unasahau kwamb Mancity hawjapoteza mech yoyoteBack-to-Back??
Ukiongelea back to back Hata Uengereza Ni Timu Mbili Zimeshawahi Kuchukua CL back to back rudia Historia uone.. Lakini Hapa Mimi sipo kihistoria Bali Naongelea Wakati Uliopo na Kinachoendelea...
Kwa Wakati Huu Chukua Timu 6 za juu za Laliga na Timu 6 za Juu za EPL halafu zichezeshe Uone Ukitoa Barcelona Kama Yupo Mwengine Atakayeweza Kushinda Hata Mechi Moja...
Achana na Historia Kubali Ukweli Kuwa EPL Kwa sasa ipo Juu tu...
Germany:
Timu ya Ushindani Ni Moja Beryan Pekee...
France:
Timu Ya Ushindani Ni Moja PSG Pekee...
Italy:
Timu ya Ushindani Ni moja Juventus Pekee....
Spain:
Timu za Ushindani Ni Mbili Real na Barcelona Pekee....
England:
Timu za Ushindani Ni 6:
1) Liverpool
2) Man United
3) Chelsea
4) Man City
5) Spurs
6) Arsenal
Halafu hapo still mtu anapinga ubora Wa EPL!! Jamani Hizi Akili za WaTZ zipo kichwani Kweli????
Kipimo cha Barca na Madrid kuwa bora Duniani ni vile ambavyo wananyanyasa timu nyingine za ulaya wanapokutana nazo Uefa...
na wanaosema hayo sio sisi wasemaji ni vyama vya soka ulaya na Dunia wewe tafuta wanazi wenzio wa epl mdanganyane sisi tunaangalia takwimu...ati Liverpool nayo ukaiweke kwenye timu zenye ushindani [emoji90][emoji90][emoji90]
Ushabiki huu unawapa watu vichaa, wanasema EPL kuna ushindan wakati man city hajapoteza mechi hata moja mpaka sasa, ukitaka mpira wa ufundi nenda Laliga EPL ni sifa tu
WEWE NI MPUMBAVU
UMESEMA REAL ALIKUWA BINGWA MSIMU ULIOPITA LAKINI UNAITAJA SPURS KTK MSMU MPYA.. UNAJUA MADRID YUPO NAFASI YA NGAPI LA LIGA MSMU HUU? KAMA UNALINGANISHA KITU BS LINGANISHA KWA WAKATI HUSIKA
ILA KAMA UNATUMIA PAST EXPERIENCE THEN LA LIGA IS THE BEST LEAGUE KWA KUWA IMECHUKUA VIKOMBE VINGI VYA UEFA CHAMPS KULINGANISHA NA LEAGUE YOYOTE ULAYA.
HALAFU UKUMBUKE EPL MMEFURUKUTA MWAKA HUU TU BAADA YA MIAKA TAKRIBAN 10 KUVURUNDA
MWISHO: KIPIMO HALISI NI KNOCKOUT STAGE.
We ujue huelewi haswa unachoongea kwenye hilo swala la ligi ya ushindani...haiwezakani leo timu zinazocheza ligi isiyo na ushindani ndo zikachukue ubingwa mbele ya timu zinazocheza ligi ya ushindani tena mara nyingi watakavyo huku wakiweka historia kama ya ku win back to back1) Mimi Nakushauri Wewe Ndiyo Ukajifunze Criteria Za Ligi Bora Uone Kama Laliga itaQualify...
2) Mimi Nakataa Kukariri Historia Kwasababu Wanzi Wa Laliga Wengi Wao Hawaijuia Historia! Kwahiyo Nikitaka Historia Wao ndiyo Wa Kwanza Watakaoipinga!!
Ngoja Nikuoneshe Mfano Historia inavyofanya Kazi...
• Ni timu Mbili tu Katika Historia Ya Laliga Ambazo Zimewahi Kubeba Champion League... Nazo Ni Real Madrid na Barcelona FC.
• Ni timu tano 5 Katika Historia Ya Uengereza Ambazo Zimebeba Champion League..
i) Man United
ii) Liverpool
iii) Nitingham Forest
iv) Aston Villa
v) Chelsea
Kwahiyo Hapo Kihistoria Umefeli...
• Ni real Pekee Kwenye Laliga Aliyewahi Kushinda CL bak-to-Backback-to-back
• Ni Liverpool na Nottingham Forest Kwa EPL Ambazo waliwahi Kushinda CL back-to-back..
Mkuu Kwa Historia Laliga haina lolote Mbele EPL lakini Hizi Historia Hazina Nafasi Kwenye Sika kwa Upande wangu...
Mimi Naangalia sasa kinaendelea nini? Sio Kilichopita...