Somo kwa wahafidhina wa Laliga

Je Timu ya Uengereza yaweza Kucheza Fainali ya UCL?

  • Ndiyo

  • Hapana


Results are only viewable after voting.

Jibu ya maswali yako ni HAPANA.
Ila kuingiza timu 5 in last 16 ndio ligi bora?
 
Madrid akibeba ubingwa mwaka huu nitatembea uchi Bunju mpaka posta mpya...

Yeyote ajitokeze kuandikiana hiki kiapo
Wachache sana tulioiamini Madrid kama ingeweza win Uefa back to back last season....

By the way Madrid hana cha kupoteza hata wakishindwa,ukizingatia bado ana kikosi kile kile cha back to back, akishinda tena kuna haja ya yeye kashiriki kombe lisilo na ushindani na kikosi kimoja tu???
 

vipi kuhusu villareal na Spurs?

Historia ni nini? na ina umuimu gani kwa baadae? mechi iliyo isha jana au kuchezwa juzi au muda mchache bado ni current? au current ni nn?

ina wezekana mimi sijui kitu... lakini.... kwanini watu wana miemko zaidi kuliko kufahamu mambo kiundani na kujaji fair...
 
Mbona unauliza maswali mepesi...

La liga kati ya miaka mitano 5 imechukua ubingwa mara 4, we unaleta mifano hata hailingani, eti fc porto mara inter, nambie ligi yao ndani miaka mitano ilichukua mara ngapi..

Wachezaji bora wote wa dunia wapo la liga, mataji yapo la liga, kigezo chako cha ubora ni kipi?
 
Ligi ikiwa bora lazima itoe timu zenye kuweza kupambana na timu zinazotoka ligi mbovu au zisizokuwa bora.

Tuambie ndani ya miaka 10 iliyopita hiyo ligi yako bora ya E.P.L imepata mafanikio gani dhidi ya ligi zingine mbovu..?

Tokea 2007 hadi 2017, timu kutoka England zimechukua ubingwa mara 2, italia 1 na Ujerumani moja, mara zote 6 la liga wamechukua.

Inakuwaje ligi yako bora katika kipindi cha miaka 10 timu zake zichukue champions league mara 2 tuuu

Hapo hatujaongelea Europa league usije ukasingizia Barcelona na Real madrid maana huwa Mnanyooshwa hata na sevilla kwenye Europa
 
Ligi ikiwa bora lazima itoe timu zenye kuweza kupambana na timu zinazotoka ligi mbovu au zisizokuwa bora.

Tuambie ndani ya miaka 10 iliyopita hiyo ligi yako bora ya E.P.L imepata mafanikio gani dhidi ya ligi zingine mbovu..?

Tokea 2007 hadi 2017, timu kutoka England zimechukua ubingwa mara 2, italia 1 na Ujerumani moja, mara zote 6 la liga wamechukua.

Inakuwaje ligi yako bora katika kipindi cha miaka 10 timu zake zichukue champions league mara 2 tuuu

Hapo hatujaongelea Europa league usije ukasingizia Barcelona na Real madrid maana huwa Mnanyooshwa hata na sevilla kwenye Europa
 
Wenye mapenzi na La liga si muangalie league yenu bora sisi tuachieni league yetu ya EPL. Maana mnatumia nguvu badala ya kujadili league bora mko CL. Fungua kibanda chako onesha la liga na jirani aoneshe EPL, utakifunga kibanda hata luku utashindwa kulipa. Mko huru na league yenu sisi tuachieni yetu hatuwezi wote kuangalia league moja.
 
Tunaongelea msimu huu ufalme wa La Liga UEFA unaelekea mwisho na kuwa nwabzo wa EPL kutamba teba kana zamani
 
Teh teh teh teh teh 😀😀😀 Mimi Ni Fan Boy Wa Ronaldo Ni Role Model wangu Wa Muda Mrefu Katika Sika lakini Ninajua na Nina Uhakika 100% Kuwa Ronaldo Ni Gay (Shoga)...
Anaebisha abishe tu...

😀😀😀😀😀
 
Hapo kwa PSG nimekuona wewe haujui kitu kabisa
PSG ni bora league 1 na sio ulaya.
 
Tunaongelea msimu huu ufalme wa La Liga UEFA unaelekea mwisho na kuwa nwabzo wa EPL kutamba teba kana zamani
Kumbe mnapiga ramli eeh..

Mi sitaki kupiga ramli ila nadhani ikifika hata nusu fainali ndio mngeanza kujigamba...
 
E.P.L ni ligi yenye ushindani maana ina timu nyingi zenye viwango vinavyokaribiana...

La liga ni ligi ya kibepari, kuna timu bora kabisa ambazo hata uzipeleke wapi lazima zitajipigia tuu watu na pia kuna timu zingine nzuri kama sevilla , atletico madrid na valencia ambazo timu za England zikikutana nazo huwa zinaijua shughuli yao
 

Man United msimu uliopita kachukua EFL na Europa. Kuwa makini na maandishi yako.
 
Hatuzungumzii timu au ligi zinazoshinda Uefa kwa ngekewa au mara moja moja tu

tunazungumzia sure team ambazo kila siku zipo tunazungumzia sure ligi ambazo zenyewe kila msimu kama sio mabingwa basi semi final inawahusu kaanzia Uefa mpk Europe wacha kuwaonea Porto na Inter Milan ambao tangu washinde Uefa miaka kibao mpk sasa bado wapo na hangover za ubingwa

Ukija kwa bayern mi tangu nianze kushabikia mpira 2002 nimeona bayern kashinda Uefa mara moja tu na ni mara 2 tu kuona timu za bundes kufika fainali kwahiyo usijifiche kwenye kichaka cha timu zilizokuwa na takwimu duni na ndo maana ligi zao hazijawahi kuwa bora...
 
Huyo jamaa sio mzima...halafu sijui ndo shabiki wa Liver,sasa shabiki wa Liverpool si zilipendwa atabishana nini???
 
Ndugu yangu ligi bora haipimwi kwa msimu mmoja eti kisa inter alichukuwa uefa 2010 basis seria A ndio iwe bora hapana hatuangalii hivyo unakosea sana

Unatoka from nowhere unasema EPL ndio ligi bora eti kisa imeingiza timu 5 16 cl,kweli hicho ndio kigezo cha ligi bora??

Eti EPL ni ligi bora kisa Madrid alifungwa na tot(kweli Ndgu yangu hiki ndio kigezo)

Nakumbuka mwaka Jana baada ya Barcelona kufungwa 4-0 na PSG first leg kwenye 16 bora watu waliongea sana,Mara ooh la liga Hamna kitu maneno kibao,baada ya 2nd leg kuchezwa majibu waliyapata

Ungesema EPL imekuwa na mwanzo mzuri kwenye hatua ya makundi ningekuelewa ila sio moja kwa moja Unakuja hapa kusema eti EPL ni ligi bora.
 
Kwa jibu hilo nafikiri saa hizi kashaenda kukojoa na kulala...7th December EPL wanasheherekea kuingizia timu 5 hatua ya 16,3rd June LFP watakuwa wanagonga mvinyo na wa kubebe Uefa mara 5 mfululizo.
Ukweli mchungu yeye amejawa na mahaba tu ila ukweli hana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…