SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Ynwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arsenal kutoshiriki UCL kumeinufaisha EPL ndio maana now wanatamba UEFA
Arsenal alikuwa uchochoro kwa Wahispaniola na Wajerumani
Naombea Arsenal hata Europa asichukue maana akija UCL hana faida !!!
Punguza hasira mkuu hapa story ni kat ya timu za epl na laliga, labda uniambie timu gani ya epl imefurukuta kwa timu za laligaHaya Njooni Tena Mulete Shombo Zenu Hapa Manake Mumeshapakuliwa Na Watoto Wa Pope utafikiria Muna Timu Ya Ndondo.
Kesho Sevilla Anafuata...
abbaczo
Atkins Mendel
Payrol
HAKUNAMATATA
likandambwasada
The Great Haya
bhachu
Honest One
PjMarLu
Kipanga boy
-KANA-
Khalidoun
Prince Dos Santos
NAKEMBETWA
Vipi, za EPL bado ziko tano?Haya Njooni Tena Mulete Shombo Zenu Hapa Manake Mumeshapakuliwa Na Watoto Wa Pope utafikiria Muna Timu Ya Ndondo.
Kesho Sevilla Anafuata...
abbaczo
Atkins Mendel
Payrol
HAKUNAMATATA
likandambwasada
The Great Haya
bhachu
Honest One
PjMarLu
Kipanga boy
-KANA-
Khalidoun
Prince Dos Santos
NAKEMBETWA
Punguza hasira mkuu hapa story ni kat ya timu za epl na laliga, labda uniambie timu gani ya epl imefurukuta kwa timu za laliga
Kwan za epl zimefurukuta mbele ya laliga?????Cha Ajabu Timu ya La Liga Haikufurukuta Kwa Roma.
Usikimbie hoja yako, hebu soma tittle ya thread kama umesahau!Vipi Za Laliga Bado Zipo 3?
Chelsea ya EPL ilifurukuta kwa Roma?Cha Ajabu Timu ya La Liga Haikufurukuta Kwa Roma.
Sijui unamaanisha nn, maana watu wapo semi final tayarRobbery in Madrid
Sijui unamaanisha nn, maana watu wapo semi final tayar
EPL ni Ligi dhaifu sana angalia Sevilla nafasi yake huko Laliga anaopambania kubakiEPL ni bora kabisa...
Ligi bora inajengwa na timu bora, Laliga is the bestKuna tofauti ya ligi bora na timu bora.
Ligi ni mkusanyiko wa timu nyingi zinazoshindana.katika mashindano makuu kama ligi ya mabingwa kuungiza timu tano si rahisi.Kumbuka ni mabingwa na wamevuka hiyo stage.Kuhusu kuchukua kombe huchukuliwa na timu moja tu.Hivyo basi iliyovusha timu nyingi ndio ligi bora.Kama ni kombe liverpool walikuwa nalo si muda mrefu sana.Na mwaka huu wana mshindani wa moto Man city.Ligi bora inajengwa na timu bora, Laliga is the best