Somo kwa wahafidhina wa Laliga

Somo kwa wahafidhina wa Laliga

Je Timu ya Uengereza yaweza Kucheza Fainali ya UCL?

  • Ndiyo

  • Hapana


Results are only viewable after voting.
Arsenal kutoshiriki UCL kumeinufaisha EPL ndio maana now wanatamba UEFA

Arsenal alikuwa uchochoro kwa Wahispaniola na Wajerumani
Naombea Arsenal hata Europa asichukue maana akija UCL hana faida !!!

Uko sahihi
Walikuwa wanaharibu nafasi for 19 straight years
 
Cha Ajabu Timu ya La Liga Haikufurukuta Kwa Roma.
Chelsea ya EPL ilifurukuta kwa Roma?

Tena bora hawa wa Laliga wametolewa kwa goli la ugenini. Waingereza walikula kipigo pale pale darajani!
 
Ligi bora inajengwa na timu bora, Laliga is the best
Ligi ni mkusanyiko wa timu nyingi zinazoshindana.katika mashindano makuu kama ligi ya mabingwa kuungiza timu tano si rahisi.Kumbuka ni mabingwa na wamevuka hiyo stage.Kuhusu kuchukua kombe huchukuliwa na timu moja tu.Hivyo basi iliyovusha timu nyingi ndio ligi bora.Kama ni kombe liverpool walikuwa nalo si muda mrefu sana.Na mwaka huu wana mshindani wa moto Man city.
 
Back
Top Bottom