cement
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 581
- 218
Tarehe 12/06/2012 nilipima maalaria nikawa nayo 4,nikapewa dawa za kutumia Atequick (spelling not sure)hazikunisaidia kwani baada ya kumeza nikawa najisikia vibayaa sana tumboni mpk trh 24/06 nikarudi hosp nikashauriwa nipiwe choo nikakutwa na minyoo.Nikapewa Arbendazon nikatumia siku tatu!lakini tumbo halikutuliaa likawa linauma sana nikarudi hsp mara nyingine nikapewa Erthromizine+Snidazone
Hapa ndo shida ilipoanzia nilikuwa nakula na shiba vzr sana na kula na matunda maji kwa wingi tatizo moyo kwenda mbio kukosa pumzi usiku yaani ikawa zaidi ya ugonjwa.
Nikashauriwa niende hosp kubwa nikaenda pale Mnazi mmoja nikacheki full blood picture ikawa safi,hakuna malaria wala typhode nikaambiwa dawa nilizopewa kwa awamu ya pili ni kali sanaaaa na hata zile za malaria sio nzuri kabisa!nikaambiwa niache dawa zote hz ss hv natumia Vitalcap+Cipro naendelea vizuri dawa za awali sema vimeniletea aleji kwenye koo pana bana japo daktari wangu kaniambia itakwisha hali hii
Ushauri kwa wote tuwe makini na afya zetu hizi hosptali binafsi zinatuua bila kujua sitaki niseme hii hosp nii kubwa sana na ina aminika kweli hapa Dar
Tuwe makini kabla ya kuanza kumeza dawa!