SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

Mkuu vipi kuhusu aliexpress unaweza tupa elimu yake?
 
Agiza china kabla sherehe za mwaka mpya wa kichina hazijaanza
 
Agiza sasa kabla sherehe za mwaka mpya wa kichina hazijaanza
 
Kuanzia wiki ya january 20 kampuni nyingi zitafungwwa kutokana na sherehe za mwaka mpya wa kichina zinazotarajiwa kuanza january 29
 
gharama ya usafirishaji kwa CBM kwa sasa ni $450/CBM
 
gharama ya usafirishaji kwa CBM kwa sasa ni $450/CBM
Vipi kama mzigo una kilo 2 au chini ya hapo unaweza kusafirisha kwa njia ya meli? Na swali lingine malipo kwa agent wa usafirishaji ni baada ya kupokea mzigo au kabla ya kupokea mzigo?
 
Vipi kama mzigo una kilo 2 au chini ya hapo unaweza kusafirisha kwa njia ya meli? Na swali lingine malipo kwa agent wa usafirishaji ni baada ya kupokea mzigo au kabla ya kupokea mzigo?

Kwa meli utachajiwa kwa ukubwa wa mzigo ambayo ni CBM.(urefu * kimo * upana) in meters. Factor itakauo amua bei ni CBM na sio weight. Ila kwa ndege factor itakayo amua bei ni weight (kg)

Usafiri wa Mizigo hulipiwa baada ya mizigo kuwasili Tanzania.
 
Vipi kama mzigo una kilo 2 au chini ya hapo unaweza kusafirisha kwa njia ya meli? Na swali lingine malipo kwa agent wa usafirishaji ni baada ya kupokea mzigo au kabla ya kupokea mzigo?
kusafirisha kwa meli hakuangalii kilo.. inaangaliwa ujazo wa mzigo.... hapo agent akishapokea mzigo kutoka kwa supplier atakutumia invoice ya kulipia gharama za usafirishaji hata kabla mzigo haujatoka china
 
Soko lake la Ubungo karibu linakamilika, hivyo sasa hivi ukitaka mzigo kutoa China watakuwa wanapokea ordee yako na kukuelekeza kwenda Ubungo badala ya kweda Uchina
 
Alibaba hata wewe hapo unaweza fungua account na kuanza kuuza bidhaa ukawa dalali.

Sasa kwa wazoefu na wafanyabiashara kuna tips za kujua unafanya biashara na kiwanda au agent....

kwahiyo hizo taarifa zina ukweli..
Sure, sasa hivi kila kitu ni kiganjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…