SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

Msimu wa sikukuu jifunze namba ya kuagiza bidhaa kupitia mtandao wa Alibaba china.
0754497077
 
Nimejifunza kitu kwa michango yenu wadau.... Asanteni
 
Hivi kulipa kwa T/T unalipaje lipaje wadau kama nataka kulipia mzigo
 
Ni malipo ya benk kwa benk .
Hapo supplier anakupa taarifa za benk unayotakiwa kufanyq transfer na wewe unawapa benki yako hizo details kisha benki inafanya transfer ya pesa yenyewe
 
Msimu wa sikukuu jifunze namba ya kuagiza bidhaa kupitia mtandao wa Alibaba china.
0754497077 whatsapp
 
Back
Top Bottom