SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

Soko lake la Ubungo karibu linakamilika, hivyo sasa hivi ukitaka mzigo kutoa China watakuwa wanapokea ordee yako na kukuelekeza kwenda Ubungo badala ya kweda Uchina
China itabaki kuwa china. Soko la Ubungo haliwezi ua biashara za watu waendao China.
 
China itabaki kuwa china. Soko la Ubungo haliwezi ua biashara za watu waendao China.
kabisa.. bado wanaopangisha pale ni waswahili tu kwwhiyo udalali bado upo palepale
 
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Hongera mkuu umeelezea kwa undani hasa. Kikuu wako vizuri kwakua wanasafirisha wao, wewe unalipia tu hata kwa mpesa. Shida ni kuhakiki ubora wa bidhaa
 
Kwa anayehitaji msaada zaidi wa kupata mafunzo ya ziada na kuongozwa hatua kwa hatua mpka unaagiza bidhaa yako nicheki whatsapp 0754497077
 
Al
 
Kwa anayehitaji msaada zaidi wa kupata mafunzo ya ziada na kuongozwa hatua kwa hatua mpka unaagiza bidhaa yako nicheki whatsapp 0754497077
 
chinese new year πŸ‡¨πŸ‡³πŸ‡¨πŸ‡³πŸ‡¨πŸ‡³
 
Kwa anayehitaji msaada zaidi wa kupata mafunzo ya ziada na kuongozwa hatua kwa hatua mpka unaagiza bidhaa yako nicheki whatsapp 0754497077
 
Alibaba ni kwa viwanda wa wauzaji wa jumla ila AliExpress ni kwa rejareja
Japo pia unaweza nunua bidhaa kupitia alibaba
 
Msimu wa sikukuu jifunze namba ya kuagiza bidhaa kupitia mtandao wa Alibaba china.
0754497077
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…