Jay_255 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2014 Posts 743 Reaction score 1,305 Mar 4, 2025 Thread starter #321 General Nguli said: Acha nikae karibu na huu uzi...Kuna la kujifunza kwa wale ambao bado hatuja jipata. Click to expand... InshaaAllah 2025 utajipata
General Nguli said: Acha nikae karibu na huu uzi...Kuna la kujifunza kwa wale ambao bado hatuja jipata. Click to expand... InshaaAllah 2025 utajipata
Jay_255 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2014 Posts 743 Reaction score 1,305 Mar 4, 2025 Thread starter #322 Msimu wa sikukuu jifunze namba ya kuagiza bidhaa kupitia mtandao wa Alibaba china. 0754497077
Jay_255 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2014 Posts 743 Reaction score 1,305 Mar 7, 2025 Thread starter #323 Mundele Makusu said: Alibaba ni kwa ajili ya wauzaji wa jumla hasahasa na AliExpress ni kwa ajili ya reja reja Click to expand... Sahihi
Mundele Makusu said: Alibaba ni kwa ajili ya wauzaji wa jumla hasahasa na AliExpress ni kwa ajili ya reja reja Click to expand... Sahihi
Jay_255 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2014 Posts 743 Reaction score 1,305 Mar 7, 2025 Thread starter #324 Msimu wa sikukuu jifunze namba ya kuagiza bidhaa kupitia mtandao wa Alibaba china. 0754497077
Yurri Senior Member Joined Apr 29, 2015 Posts 186 Reaction score 238 Mar 9, 2025 #325 Nimejifunza kitu kwa michango yenu wadau.... Asanteni
Last KING Ontuzu JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 644 Reaction score 927 Mar 9, 2025 #326 Aise uzi bora kbs
Kazanazo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2023 Posts 2,582 Reaction score 4,554 Mar 12, 2025 #327 Hivi kulipa kwa T/T unalipaje lipaje wadau kama nataka kulipia mzigo
Jay_255 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2014 Posts 743 Reaction score 1,305 Mar 13, 2025 Thread starter #328 Last KING Ontuzu said: Aise uzi bora kbs Click to expand... Shukran
Jay_255 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2014 Posts 743 Reaction score 1,305 Mar 13, 2025 Thread starter #329 Kazanazo said: Hivi kulipa kwa T/T unalipaje lipaje wadau kama nataka kulipia mzigo Click to expand... Ni malipo ya benk kwa benk . Hapo supplier anakupa taarifa za benk unayotakiwa kufanyq transfer na wewe unawapa benki yako hizo details kisha benki inafanya transfer ya pesa yenyewe
Kazanazo said: Hivi kulipa kwa T/T unalipaje lipaje wadau kama nataka kulipia mzigo Click to expand... Ni malipo ya benk kwa benk . Hapo supplier anakupa taarifa za benk unayotakiwa kufanyq transfer na wewe unawapa benki yako hizo details kisha benki inafanya transfer ya pesa yenyewe
Jay_255 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2014 Posts 743 Reaction score 1,305 Mar 15, 2025 Thread starter #330 Msimu wa sikukuu jifunze namba ya kuagiza bidhaa kupitia mtandao wa Alibaba china. 0754497077 whatsapp
Msimu wa sikukuu jifunze namba ya kuagiza bidhaa kupitia mtandao wa Alibaba china. 0754497077 whatsapp