Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima kwako best.Aaamen asante sana REJONGO
[emoji106] [emoji106][emoji115] [emoji120] [emoji120] [emoji123]
Vipi na ukitafutana Asubuhi pale unapoamka kabla hata ya kupiga mswakimshana mie huwa ninapenda kutafuna vipande kama vi3 vikafu bila kuchanganya na chochote kabla ya kulala, kwa kweli unalala murua kabisa, ukiamka asubuhi upo fresh, je vipi unga wake nao unaweza kuutumia kama chai asubuhi au baada ya vimeng'enyo vinakuwa vishapotea
swali lingine mti wa mnyaa kwanini wafugaji wa ng'ombe na mbuzi wanapenda sana kupanda kwenye mazizi yao, na hata baadhi ya makaburi unakuta mnyaa unawekwa, kuna sababua hapo hebu naomba unieleze, asante JR. mshana
Vipi ni kweli pia vinatibu vidonda vya tumbo??Mapunye chunusi usoni, kuwashwa nywele na mambo yetu yale pia ni tiba na kinga bora kabisa
Kwahiyo haviwezi au vitakuwa vinaongeza tena asidi na kuleta madhara zaidiMmh ila vina asidi