Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

mshana mie huwa ninapenda kutafuna vipande kama vi3 vikafu bila kuchanganya na chochote kabla ya kulala, kwa kweli unalala murua kabisa, ukiamka asubuhi upo fresh, je vipi unga wake nao unaweza kuutumia kama chai asubuhi au baada ya vimeng'enyo vinakuwa vishapotea

swali lingine mti wa mnyaa kwanini wafugaji wa ng'ombe na mbuzi wanapenda sana kupanda kwenye mazizi yao, na hata baadhi ya makaburi unakuta mnyaa unawekwa, kuna sababua hapo hebu naomba unieleze, asante JR. mshana
 
Kwa hiyo juice ya kitunguu saumu ,maji ya uvuguvu & Asali mbichi ni nguvu kuu ndani ya mwili???
 
Vipi na ukitafutana Asubuhi pale unapoamka kabla hata ya kupiga mswaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…