Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Somo zuri sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Buh ha hahah a hahah ah ahaha,huyo jamaa sidhani hata kama anaweza kulitamka hilo jina lake..Jitahidi tu usijerudi humu na uzi wa kuomba msaada kubadili id....nitakupa tabu sana.
Moja ina E nyingine ina C...japo sijui hata moja.Naomba tofauti kati ya LED na LCD
sasa unasema sio kweli halafu hutupi ukweli, hututendei haki mkuuHapo kwenye wi-fi sio kweli
aisee tunashukuru kwa somo zuri, sikuwa kujua aisee!Tupitie hata elimu kidogo
Jua kirefu cha Maneno haya
View attachment 906705View attachment 906706View attachment 906707View attachment 906708View attachment 906709View attachment 906710View attachment 906711View attachment 906712View attachment 906713View attachment 906714View attachment 906715View attachment 906716
Bado sijaelewa hapaLCD Ni kioo ambacho kama kwa ndani kuna display ya maji hata ukibonyeza ni kama kuna liquid ndani, lakin LED hakuna maji ila component zake ni crystals zenye mchanganyiko na dry diodes ambazo ni latest
Sawa mkuu usiwe na wasiMkuu uwe unakuja hivi kila wiki itawasaidia wengi, pendekezo langu uwe unaweka nyamanyama kwenye kila skeleton
Karibuaisee tunashukuru kwa somo zuri, sikuwa kujua aisee!
YesNa hasa kwenye maneno YAHOO, VIRUS na COMPUTER!