Somo la Leo: Je, wajua kirefu cha WI-FI? Na watambua kuwa neno Computer ni kifupi cha maneno wala si jina?

Somo la Leo: Je, wajua kirefu cha WI-FI? Na watambua kuwa neno Computer ni kifupi cha maneno wala si jina?

Kaka kwenye Dell kama unamaanisha zike
Computer brand ya dell
Bas umekosea Dell ni jina la
Muanzishaji wa kampun
Ya computer za dell. Ndo akaipa kampuni jina lake alikuwa anaitwa Michael DeLL
 
LCD Ni kioo ambacho kama kwa ndani kuna display ya maji hata ukibonyeza ni kama kuna liquid ndani, lakin LED hakuna maji ila component zake ni crystals zenye mchanganyiko na dry diodes ambazo ni latest
Bado sijaelewa hapa
 
Back
Top Bottom