Mmh kwa muandiko huu ni haki yako kutoelewa, sio mbaya nipo kwa ajili ya kuelewesha niambie nianzie wapi kukueleweshamkuu mє ѕíєlєw chσchσtє kuhuѕu híí mαdα. níѕαídíє kuєlєw
shukran mkuu ningependa uanze kunisaidia kuanzia maana yake, jinsi ya kuifanya,faida na hasara zake, na mengine utayoona nahisi kuyafaham kuhudu meditationMmh kwa muandiko huu ni haki yako kutoelewa, sio mbaya nipo kwa ajili ya kuelewesha niambie nianzie wapi kukuelewesha
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Meditation kwa kiswahili ni tahajudi, na tahajudi kwa tafsiri ya haraka ni kuuadabisha ubongo /ufahamu, yani uamuzi wa kufanya jambo moja kwa wakati mmoja kimawazo kifikra na kimatendo, faida zake ni nyingi sana lakini za haraka ni elimu na maarifa ya ulimwengu wa roho afya ya akili na mwili nk nkshukran mkuu ningependa uanze kunisaidia kuanzia maana yake, jinsi ya kuifanya,faida na hasara zake, na mengine utayoona nahisi kuyafaham kuhudu meditation
Third eye ina uhusiano na ushetani?Inawezekana kabisa kwakuwa unafungua jicho la tatu
kulala(naangalia juu)Mmh huwa unakaa mkao gani?
Uhusiano huo ukoje?Ni jambo la kiroho hivyo lina uhusiano na pande zote mbili Mungu na ibilisi shetani
Asante mkuuPost hii ni mkusanyiko wa maswali kupitia pm na ziada
Kwanza niwapongeze wale wote waliojaribu kufanya meditation kwa vitendo na kukutana na hali za ajabu kushangaza ama kutisha... Hizo ni hali za kawaida sana kwa beginners, kwahiyo sio hali za kuogopa ama kukukatisha tamaa.... Zinapotokea hizo jua uko kwenye uelekeo sahihi endelea
Kabla ya kuanza meditation akili/ufahamu wako unakuwa umezongwa na uchafu mwingi wa kimaisha na changamoto zake
Ajira
Ujenzi
Manunuzi
Karo za watoto
Ndugu
Mahusiano
Madeni
Visasi nk nk
Hivi tunaita ni calamities na hindrances kwenye mind inayotaka kuwa huru.... Kwahiyo mambo hayo hufanya ufahamu wako kuhama na kuwayawaya mitaani maofisini barabarani nyumbani nk nk... Mind inakuwa haiko settled moja... Na maranyingi kuipa nafuu hatufanyi ya kutatua tatizo bali kuahirisha Kama kwenda sehemu za starehe ama kutumia vilevi...tunaita kurefresh mind... Short terms refreshments.....
Unapoanza meditation, kusudio kubwa la Kwanza ni kuurudisha ufahamu nyumbani...utulie sehemu moja... Bringing back the mind.... Yani ifike mahali uichagulie mind yako cha kufanya na si yenyewe ikuendeshe
Ni katika mchakato huu wa kuukusanya ufahamu wako na kuurudisha sehemu moja lazima ukutane na mambo yafuatayo
-mivumo ya sauti za ajabu
-kizunguzungu
-kuhisi kichwa kinavimba ama kuuma
-kuhisi unaanguka kwenye shimo refu sana
-kuona nyotanyota na maumbo ya ajabu
-kutoka vipele
-kutapika na hata kupata homa (advanced stage)
Kwahiyo naomba niwape moyo wale wote walio kwenye hili zoezi waendelee bila kukoma hizo dalili ni ishara kwamba mnaenda kwenye mstari sahihi
mkuu mshana Jr naomba kuuliza kama nguvu za psychics ninazo make najikuta kila ninachokitafuta nakipata hasa pesa...sina biashara wala kitega uchumi cha kuniingizia pesa ila kila nikimwambia mtu kuwa naomba pesa hata kama hana ila anajikuta anahangaika kwa ajiri yangu ..sio kwa wanaume au wanawake yan wanajikuta wananipa bila kinyongo....hali hii imenifanya nisome kwa staili hii mpka chuo kikuu kwa missaada ya watu ....sasa juzi nimepata shida ya pesa nikamuomba dada mmoja akawa anadai hana pesa kwa sasa hivi lakini badae nashangaaa kwenye tgo pesa kitu cha kilo 3 kinatuna fasta badae nikampigia kumshukuru akasema yani wew mwanaume una bahati snaa ya kusaidiwa na sijui maisha yako ya baadaye...sasa najiuliza inakuwaje mimi naweza kuelewana na watu hata wale walioshindikana kwa ubahili lakini naweza kuwatoboa na kujikuta wananipa kila ninachokihitaji...Post hii ni mkusanyiko wa maswali kupitia pm na ziada