Somo la meditation: utajuaje kama unafanya kwa sahihi?

Somo la meditation: utajuaje kama unafanya kwa sahihi?

mkuu mshana Jr naomba kuuliza kama nguvu za psychics ninazo make najikuta kila ninachokitafuta nakipata hasa pesa...sina biashara wala kitega uchumi cha kuniingizia pesa ila kila nikimwambia mtu kuwa naomba pesa hata kama hana ila anajikuta anahangaika kwa ajiri yangu ..sio kwa wanaume au wanawake yan wanajikuta wananipa bila kinyongo....hali hii imenifanya nisome kwa staili hii mpka chuo kikuu kwa missaada ya watu ....sasa juzi nimepata shida ya pesa nikamuomba dada mmoja akawa anadai hana pesa kwa sasa hivi lakini badae nashangaaa kwenye tgo pesa kitu cha kilo 3 kinatuna fasta badae nikampigia kumshukuru akasema yani wew mwanaume una bahati snaa ya kusaidiwa na sijui maisha yako ya baadaye...sasa najiuliza inakuwaje mimi naweza kuelewana na watu hata wale walioshindikana kwa ubahili lakini naweza kuwatoboa na kujikuta wananipa kila ninachokihitaji...
sio kwamba nawavuna hapana najikuta nina shida snaa na nikikaaa usiku kitandani nawaza jinsi gani napata pesa yani nikipata shida ya shilingi laki 3 najikuta nawaza kila dakika kuwa laki 3 laki 3 laki 3 laki 3 halafi kesho asubuh mtu yoyote ninayemuomba fasta snaa ananionea huruma ana anajikuta anadonate mpunga .....daaaah..

nilivunja recod mwez uliopita nimekutana na meneja mmoja wa kampuni flani alikuwa maeneo ya kijijini ,sasa katika kile kijiji akajikuta ana shida ya kutuma document zake kwwnye email lakini pale kijijin hapana access ya internet cafe nikajikuta namsaidia kupitia simu yake ile ile akatuma gafla nikajikuta amekuwa rafiki yangu sasa hivi kaninunulia tecno fantom 6 kwani sikuwah kumuomba simu wala pesa ila nilikuwa na shida na simu ya fantom sana kipindi hiki...niliduwaa snaa na kumuliza umejuaje kama nina shida ya simu lakini anasema usijali dgo langu chukua kama zawadi...sasa najiuliza inakuwaje kila ninachokiwaza nakipata kupitia wengine tena kwa mahangaiko yao...??
sijui kama nina uwezo kumshawishi mtu mindly au laaaaah...make najikuta kuwa na maisha mazuri kupitia migongo ya watu na najiuliza mwishowe itakuwaje maisha yangu ya badae...je nitaendelea kupewa vitu na watu kisa mawazo yangu yamewaza kile kitu mpka lini...?
i want to stop this...i hate what comes in my mind coz its reality manifest seriusly na
hii hali inanitokea mpka na kwenye maswala ya mapenzi nimejikuta nadate na wanawake wengi just kila nikipata hisia kwa yoyote gafla anajikuta anapata shida ambayo mimi ndo naweza itatua na badae inakuwa rahisi kukamilisha yale mambo....najistukia kila mahali kwani hata bada ya kufanya nao mapenzi wnajikuta wananiuliza kama nina nguv yoyote ya kuwavuta mind lakini nawambia sina dawa wala nguvu yoyote sijui kwa kweli...
je nina nguvu kama mnazozisema humu au basi tu ni mungu anaahusha rehema zake..??
Nimejikuta tu nakuangalia kwa jicho baya mkuu
 
Kuna mada ya kismati ama ngekewa ngoja niitafute takutag kuna watu wako hivyo, hiyo ni kinyume na kimavi ama mikosi wakati wewe kila ukiwazacho unakipata kwa njia hizo kuna wenzako wamakisotea na hawakipati ng'o..!!!
Ukisikia waganga wamatoa matangazo ya kusafisha nyota ni vitu Kama hivyo
NB: hii fanya iwe siri yako wabaya wako wakijua umekwisha na pia chunga sana nguo zako hasa za ndani, nywele zote, mate nk nk
Mkuu mi sina ubaya wwte ila nimejikuta tu namuonea donge jamaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ngoja nami nirudie tena .japo najikuta nawaza vitu nilivyovifanya nyuma au kufanyiwa. Bila kujikita sehemu husika. Pamoja na kupiga usingizi.
 
Andiko lako mkuu linawapa hofu begginers na kuwakatisha tamaa, isitoshe dalili huwa hazifanani... in meditation you dont tell a person what he/she will observe rather unamuachia yeye mwenyewe afanye kisha ndiyo akueleze alicho-experience... ukimwambia before utamfanya asijiamini ikitokea kile ulichomwambia sicho alichokutana nacho... nasherehesha tu.
 
Back
Top Bottom