Somo la meditation: utajuaje kama unafanya kwa sahihi?

Somo la meditation: utajuaje kama unafanya kwa sahihi?

Andiko lako mkuu linawapa hofu begginers na kuwakatisha tamaa, isitoshe dalili huwa hazifanani... in meditation you dont tell a person what he/she will observe rather unamuachia yeye mwenyewe afanye kisha ndiyo akueleze alicho-experience... ukimwambia before utamfanya asijiamini ikitokea kile ulichomwambia sicho alichokutana nacho... nasherehesha tu.
Hapana nilichoandika ni based on maswali na experience ya wadau niliokutana nao pm
 
Kuna mada ya kismati ama ngekewa ngoja niitafute takutag kuna watu wako hivyo, hiyo ni kinyume na kimavi ama mikosi wakati wewe kila ukiwazacho unakipata kwa njia hizo kuna wenzako wamakisotea na hawakipati ng'o..!!!
Ukisikia waganga wamatoa matangazo ya kusafisha nyota ni vitu Kama hivyo
NB: hii fanya iwe siri yako wabaya wako wakijua umekwisha na pia chunga sana nguo zako hasa za ndani, nywele zote, mate nk nk
Naomba unitag nisome
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mstari wa mwisho hapo,
Heshima kwako mkuu
 
Unaweza kufanya meditation kwa mfano mwez wa 11 unafanya mtihan wa Necta sasa unataka ujue maswali yapi yatatoka kwenye mtihan
 
Unaweza kufanya meditation kwa mfano mwez wa 11 unafanya mtihan wa Necta sasa unataka ujue maswali yapi yatatoka kwenye mtihan
Hapana
Vipassana-Meditation-Benefitss.jpg
 
Nitafsirie
Faida za tahajudi ya vipassana
(kama ilivyoripotiwa na mfungwa)
Utulivu wa akili
Uwezo wa kuhimili hasira
Kuweza kupambana na mawazo mabaya
Mtazamo kuhusu yajayo
Kuweza kuishi maisha ya jela
Kuhimili msongo wa mawazo
Kutafakari uovu na maisha yaliyopita
Kujitambua
Kuwatendea wengine mema
Kupata furaja ya ndani
Kuhimili homa ya kuwaza nyumbani
Kuhimili madawa ya kulevya na vingine
Kupata usingizi wa amani
 
Back
Top Bottom