Somo la sheria kwa lazima kuanzia shule ya msingi halikwepeki katika taifa letu

Somo la sheria kwa lazima kuanzia shule ya msingi halikwepeki katika taifa letu

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Ndugu watanzania katika jukwaa hili,

Kwa mambo yanayo endelea sasa katika taifa letu ni wazi somo la sheria halinabudi kuanza kufundishwa kuanzia shule za msingi na iwe lazima.

Mpaka muda huu nashindwa kutofautisha neno mkataba zidi ya neno makubaliano.

Kila wanaoelezea kila mmoja anaelezea kivyake, wiki ya kesho nina mtihani wa sheria. Kwa ninavyowajua walimu wa sheria Tanzania lazima watoe maswali ya mambo yote yanayoendelea katika taifa letu.

Sheria tunayojifunzia ukubwani tunashika tu na kusahau.

Jumapili njema.
 
Back
Top Bottom