Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

Alafu mkuu wanaosoma Economics advance co ECA peke yao bali kuna EGM na HGE ambao hawasomi commerce.
Nakumbuka o level sikusoma kabisa commerce wala bookeeping mana nilikua science, advance nikakutana na economics.
Nitoe ushuhuda nilisoma na kulipenda sana somo kwasababu theory nyingi zipo katika maisha yetu ya kawaida, eg theory of demand,kwakweli ni somo nzuri sana, huchoki kulisoma calculation zake zinaeleweka.
 
Asante kwa ushuhuda mzuri mkuu. Sasa unaonaje kama somo hilo litaanzia kidato cha kwanza kama Physics na Chemistry?
 
Asante kwa ushuhuda mzuri mkuu. Sasa unaonaje kama somo hilo litaanzia kidato cha kwanza kama Physics na Chemistry?
Kwa jinsi somo nilivyoona liko wide ila mbeleni linaenda kuzidi kua complex kidogo kwasababu linazidi kusoma tabia za mtu binafsi na uchumi wa taifa kwa ujumla.
Linazidi kua complex kanakwamba wakisema waendelee kulisoma kuanzia form one mpaka form four mbeleni wanafunzi wanaweza shindwa ona umuhimu wa kulisoma, labda wajaribu kulifundisha form three au four kwa kuangalia vile vipengele muhumu ili liwavutie kwenda kulisoma advance.
Unajua naona wameliweka advance kwasababu linawaanaa vizuri watu wenye kutaka hyo profession ya maswala ya pesa.
 
Mama yetu Rais Samia ametoa pesa nyingi sana kwa ajili ya miradi mizuri ya maendeleo. Mungu mpe afya njema shujaa huyu
Viongozi wa bara la Ulaya na Asia kama vile Waziri mkuu wa India Narendra anamkubali sana Rais Samia
 
Back
Top Bottom