Somo lingine la pesa na mwanaume

Somo lingine la pesa na mwanaume

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
618
Reaction score
1,440
Somo lingine la pesa na mwanaume. Jifunze kusikiliza mitetemo ya mawimbi ya nishati kati yako na mwanamke unayeanza naye mahusiano. Kuna wakati unaweza kujisikia mzito sana kumfungulia wallet yako mwanamke fulani. Usidharau kabisa hiyo nguvu inayokusukuma kusunda kibunda chako. Siyo kila mwanamke anastahili jasho lako.

Kuna wanawake wengine, hawaoni shida kutanua 'V' zao popote ambapo anapewa pesa. Aina hii ya wanawake huwa wanabeba nishati hasi nyingi za wanaume wa hovyo hovyo. Ndani yako una nishati ya bilionea, ghafla unaanza kusomeka kama mnywa mataputapu kwenye mitetemo ya kiroho sababu umeingia kwenye 'V' moja na walevi wa dengerua.

Kuwa makini na kila hatua inayokupeleka kwenye mzagamuo. Unaweza kujiuliza nini kimevuruga uchumi wako, kumbe ni nishati hasi kutoka kwa mwanamke mwenye mitetemo ya umaskini. Mapenzi siyo msaada, mwehu anayekufanya wewe sponsor, wengi wana mikosi. Utoaji ni ule wa kimahaba na mpokeaji apokee kimahaba na siyo akae kama anasubiri mshahara, familia nzima inasubiri ahongwe. Nimekusanua brother.
 
Back
Top Bottom