Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Ewe kijana wa kiume kama upo katika mahusiano na mtoto wa kike hakikisha anashidwa kukuelewa wala kusoma wewe ni mtu wa aina Gani iwe umeoa au hujaoa .......
Siku zote katika mahusiano wanawake huwa wana maswali mengi ambavyo wanapenda kusikia toka kwa mwanaume lengo ni kuweza kukufahamu vizuri, narudia kukufahamu vizuri.......
Na siku zote mwanamke akishaanza kukufahamu vizuri wewe ni mtu wa aina gani basi tambua ya kwamba mwisho wako wa kufurahia maisha umekwisha kwani mwanamke tiyari atakuwa kashajua madhaifu yako hivyo atakuendesha vile atakavyo.