Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Point yangu ipo hapo mwisho kabisa....Ewe kijana wa kiume kama upo katika mahusiano na mtoto wa kike hakikisha anashidwa kukuelewa wala kusoma wewe ni mtu wa aina Gani iwe umeoa au hujaoa .......
Siku zote katika mahusiano wanawake huwa wana maswali mengi ambavyo wanapenda kusikia toka kwa mwanaume lengo ni kuweza kukufaham vizuli,narudia kukufahamu vizuli.......
Na siku zote mwanamke akishaanza kukufahamu vizuli wewe ni mtu wa aina gani basi tambua ya kwamba mwisho wako wa kufurahia maisha umekwisha kwani mwanamke tiyali atakuwa tiyali kashajua madhaifu yako hivyo atakuendesha vile atakacyo
Unatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako wakati jicho lako mwenyewe linavyo piaNazani ulikuwa unamaanisha vizuri na sio vizuli, japo umerudia mara tatu.
Ningekomenti sema sijaelewa hilo neno vizuli.
PointPoint yangu ipo hapo mwisho kabisa....
Mwanaume anae kubali kuendeshwa na mwanamke, basi huyo mwanaume hajielewi na hapaswi kuwa kichwa hata geto kwake pekeyake..βΉοΈ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Uzi wa saa tisa usiku!!!
Dogo Huna akili
Halinaga akili hilo kazi yake ni kuchamba wima kukosoa tu kila kitu kinacholetwa humuUnatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako wakati jicho lako mwenyewe linavyo pia