Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Mirisho, asante, ila nadhani hili jina ni la dini zote, I have a friend ni Muislamu anaitwa Asanterabi Tambwe, na nikiwa Boston, nilikutana na Mbongo Mkristo akiitwa Asanterabi Nsilo Swai, wanamuita kwa kifupi Asante! na alilipata hili jina kutoka kwa baba yake, yule waziri wa kwanza Mchagga, Asanterabi Zephaniah Nsilo Swai (RIP) ambaye Mwenyekiti wa sasa wa CCM Kilimanjaro, Mama Vicky Nsilo Swai ni mjane wake ambaye ndie mama yake Asante!.Dada dini inaku brain wash vibaya mno.... hata hivyo Asanterabi ni jina la kikristo...check it out!
Pasco,Mkuu The Boss, asante. Kumbe ulisoma Azania?, mimi nilikuwa hiyo shule ya jirani yako, ile ya Walume Ndago!, vipi jamaa class alikuwa kichwa?. Ilikuwa ni miaka ipi?. Mimi nimesoma darasa moja primary na mtoto wa Malima ambaye sasa ni medical doctor Dr. Amani, by then Malima alikuwa na watoto wawili tuu, Amani na kaka yake tuu, ila kwa vile ilikuwa long, usikute dogo alikuwa hajazaliwa!.
Thanks
Pasco
Khaa!!! Wewe wa wapi?? Sayansi bongo?? Una wazimu wewe. Bongo kila kitu siasa. Wanakesha wakiomba ebola iingie nchini wafanye siasa. Siasa ni kila kitu kuanzia usafi wa mazingira hadi kikombe cha babu. Ndiyo tulivyojichagulia.Sasa vitu vingapi vinagunduliwa. Kumbuka hao wote wamefuata Wazungu huko. Cha msingi ni kuangalia sera zetu za ndani juu ya sayansi. Hakuna cha kushangaza mkiwa na sera zenye kuunganisha utafiti, viwanda na maendeleo ya taifa.
I have been working in nanoscience for 3 years now. Kuna mambo mengi ila nchi ndo hii.
Kama watanzania tujue hilo na baado halitasidia.
Khaa!!! Wewe wa wapi?? Sayansi bongo?? Una wazimu wewe. Bongo kila kitu siasa. Wanakesha wakiomba ebola iingie nchini wafanye siasa. Siasa ni kila kitu kuanzia usafi wa mazingira hadi kikombe cha babu. Ndiyo tulivyojichagulia.
Mkuu Ritz, asante. Kumbe jamaa alikuwa dogo sana ndio maana sikumfahamu kwa sababu mpaka tunamalima primary na Amani, dogo bado hajaanza shule!, ila nimemkumbuka Akili alikuwa nyuma yetu!.Pasco,
Nawafahamu watoto wake Adamu, Amani, akilimali, na huyu mdogo wao Asanterabi,kasoma Azania kisha kasoma Aga Khan, kazaliwa mwaka 1979.
wanamjuaje??
Teh teh teh.
Hao wanajua kuwa hakuna wazungu waislaam.
Pua wanadhani kuwa hakuna waarabu ambao ni wakristo teh teh teh
Ugunduzi wa muislam!
Mkuu Ritz, asante. Kumbe jamaa alikuwa dogo sana ndio maana sikumfahamu kwa sababu mpaka tunamalima primary na Amani, dogo bado hajaanza shule!, ila nimemkumbuka Akili alikuwa nyuma yetu!.
Ila pia nimefuraha kutambua ndugu wengine wa familia hiyo, baba akiitwa Ali, watoto Adamu, Amani, Akili na Asante!.
Thanks.
Pasco