Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Mirisho, asante, ila nadhani hili jina ni la dini zote, I have a friend ni Muislamu anaitwa Asanterabi Tambwe, na nikiwa Boston, nilikutana na Mbongo Mkristo akiitwa Asanterabi Nsilo Swai, wanamuita kwa kifupi Asante! na alilipata hili jina kutoka kwa baba yake, yule waziri wa kwanza Mchagga, Asanterabi Zephaniah Nsilo Swai (RIP) ambaye Mwenyekiti wa sasa wa CCM Kilimanjaro, Mama Vicky Nsilo Swai ni mjane wake ambaye ndie mama yake Asante!.Dada dini inaku brain wash vibaya mno.... hata hivyo Asanterabi ni jina la kikristo...check it out!
Pasco.
