Son of Ex-Minister Malima in historic medical discovery

Son of Ex-Minister Malima in historic medical discovery

Hapa naona agenda ya uvumbuzi imehamishiwa kwenye siasa na udini, hivi tanzania tuipendayo ni ipi? kutukanana au kupongezana! mtu akiwa muislamu au mkristo kuna shida gani? Kwani leo hii madaktari wanaotuhudumia mbona hawatuulizi kabila?

Acheni Tanzania iitwe Tanzania, Acheni mijadala ya kibaguzi - kuweni wamoja kama MUNGU anavyotuagiza.
 
Huo ni ukuda kujadili mtanzania na dini yake kama malima kaweka record hyo ni sifa kwa tanzania nzima bila kujali mkristo au muislam ,kama mnakuwa mnakosa cha kuongea ni bora kunyamaza,msilete chuki baina ya watu na watu
 
Mkuu Mirisho, asante, ila nadhani hili jina ni la dini zote, I have a friend ni Muislamu anaitwa Asanterabi Tambwe, na nikiwa Boston, nilikutana na Mbongo Mkristo akiitwa Asanterabi Nsilo Swai, wanamuita kwa kifupi Asante! na alilipata hili jina kutoka kwa baba yake, yule waziri wa kwanza Mchagga, Asanterabi Zephaniah Nsilo Swai (RIP) ambaye Mwenyekiti wa sasa wa CCM Kilimanjaro, Mama Vicky Nsilo Swai ni mjane wake ambaye ndie mama yake Asante!.
Pasco.

Kwani mjane wa Prof Malima ni dini gani? Lini alibadili dini yake ya awali? Huu upuuzi wa udini tusiuendekeze sana. Hautusaidiii lolote sisi raia mchanganyiko wa Tanzania.
 
Hapa naona agenda ya uvumbuzi imehamishiwa kwenye siasa na udini, hivi tanzania tuipendayo ni ipi? kutukanana au kupongezana! mtu akiwa muislamu au mkristo kuna shida gani? Kwani leo hii madaktari wanaotuhudumia mbona hawatuulizi kabila?

Acheni Tanzania iitwe Tanzania, Acheni mijadala ya kibaguzi - kuweni wamoja kama MUNGU anavyotuagiza.

Kuna watu tuwapuuze...kama wanaona wanakerwa sana na tunavyoishi kwa amani Tanzania waende Syria na Iraq, kule ambako ISIS wametengeneza jimbo lao huru wakachanganyane kwa raha zao.
 
Wakati nasoma hu uzi nilitegemea kabisa kwamba lazima baadhi ya wachangiaji wachangie kwa mtazamo wa kidini, nazidi kujithibitishia mwenyewe kua akili zetu wabongo hazipo sawa kabisa, kwasasa nafanya research ya kwanini akili zetu zipo hivi, si amini katika uchawi though jamaa yangu 1 alinambia eti mwenge wa uHuru ni tambiko la kuondoa akili zetu, mi natafuta sababu za kisayansi zaidi, nataka nianze na hivi vyakula tunavyo kula, nahisi Sembe na mchele (White rice) vina issue! Sio bure, tunalo tatizo!

Wala huhitaji kufanya utafiti tayari tafiti zipo just google ugali wa muhogo .ugali wa mahindi na mchele .ukila kwa wingi .bila mboga mboga nyingi .vinaathiri uwezo wa kufikiri .tena unga wa mohogo ndio bala zaidi .cheki na watu wanaotokea kwenye eneo ambalo mohogo na kisamvu na kipande cha papa ndio chakula kikuu .their very after sex .kwa sababu ubongo aujitaabishi .kufikiri zaidi kwa kuathiriwa .na ulaje wa wanga kupita kawaida .
 
watu kama hawa wananifanya sometimes nione fahari kuwa mtanzania. naona kina faiza na hilo wanaingiza udini. shame on you wabaguzi wote. VIVA MALIMA. VIVA TANZANIAN SCIENTISTS.
Kwani huyo Prof. Malima(Ex-minister) baba wa huyu mvumbuzi alikuwa nani hasa na ni nini kilimsibu mpaka asiwepo leo, alizeeka!? tujuzane tafadhali.

url
neu171534_lowres.jpg
 
Kwani mjane wa Prof Malima ni dini gani? Lini alibadili dini yake ya awali? Huu upuuzi wa udini tusiuendekeze sana. Hautusaidiii lolote sisi raia mchanganyiko wa Tanzania.
Mkuu Ndahani, asante. Mtu akiishakuwa ni Muislamu Swala 5, Alhaj, then its obvious mkewe atakuwa ni Muislamu!. Hata mke wa Prof. Lipumba alikuwa ...
Thanks.
Pasco
 
Alaf usisahau ni kijana wa KIZARAMO!. Nakumbuka Waziri mmoja wa Serikali ya JK alikuta pande za mbali nafanya mambo yangu, kaniuliza ww ni kbila gani, nikamjibu kuwa mimi ni mzaramo wa Kkoo atanijibu siku hizi wazaramo wanakwenda shule! Nikamshaangaa sana,kisha nikamjibu,wapo wengi tu waliokwenda shule lakini hawana ulimbukeni wa wakuja kama nyie!

Wazaramo hawana ukabila na hawana haja ya kuitana kwenye vikao vya kikabila kama wafanyavyo makabila mengine vyuoni na makazini ndio maana wengi hudhani wazaramo hawapo vyuoni wala makazini kumbe tupo na tunawakimbiza kuanzia vyuoni hadi makazini na hakuna sababu ya kujitangaza kama wao na ushamba wao!
 
Mkuu Ritz, asante. Kumbe jamaa alikuwa dogo sana ndio maana sikumfahamu kwa sababu mpaka tunamalima primary na Amani, dogo bado hajaanza shule!, ila nimemkumbuka Akili alikuwa nyuma yetu!.

Ila pia nimefuraha kutambua ndugu wengine wa familia hiyo, baba akiitwa Ali, watoto Adamu, Amani, Akili na Asante!.

Thanks.
Pasco

hivi wewe pasco kuna kiongozi usiefahamiana nae familia yake na vitu vingine kama hivi kusoma na watoto wao nahisi ungekuwa na kiumri kama cha miaka 65 ungetuambia "jakaya nilikuwa nampiga sana kipindi mimi nipo la 6 ye yupo la 5 s/m msoga muongo sana ww kiumbe
 
Wala huhitaji kufanya utafiti tayari tafiti zipo just google ugali wa muhogo .ugali wa mahindi na mchele .ukila kwa wingi .bila mboga mboga nyingi .vinaathiri uwezo wa kufikiri .tena unga wa mohogo ndio bala zaidi .cheki na watu wanaotokea kwenye eneo ambalo mohogo na kisamvu na kipande cha papa ndio chakula kikuu .their very after sex .kwa sababu ubongo aujitaabishi .kufikiri zaidi kwa kuathiriwa .na ulaje wa wanga kupita kawaida .

Nakusukuru sana mkuu, naendelea na research yangu. Kiukweli ua namchukia sana ambae kila kinachofanywa na mtu hua anahusisha na dini yake, mbona Wakrito walimuunga sana mkono JK mwaka 2005, hivi alikuja kujulikana kua Muislamu baada ya uchaguzi? Mi siamini mafanikio ya Malima (haya ambayo tunayosoma humu and may be atakuja na issue nyingine) yana uhusiano wowote na dini yake, by the way wote tunafahamu jinsi gani watu wa magharibu wasivyohusudu mambo ya dini, kwanza hata vaa yake tu hapo kwenye hiyo picha + paji lake la uso halioneshi kabisa kama ni mzee wa mkeka, tupongezane na kulaumiana kwa Utanzania wetu na wala sio Uislam au Ukristo wetu.
 
Khaa!!! Wewe wa wapi?? Sayansi bongo?? Una wazimu wewe. Bongo kila kitu siasa. Wanakesha wakiomba ebola iingie nchini wafanye siasa. Siasa ni kila kitu kuanzia usafi wa mazingira hadi kikombe cha babu. Ndiyo tulivyojichagulia.

Rohombaya, njo u haraka, kuna mtu ame hack account yako aise!
 
Back
Top Bottom