Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Kalyovapiti, asante!. Nini kusoma na mtoto wa malima?!, niliyentaja nimesoma nae darasa moja!. Pia primary nimesoma darasa moja na Mtoto wa Malecela!, sekondari nimesoma darasa moja na Mtoto wa Nyerere, Darasa Moja na mtoto wa Mkapa, shule moja na Mtoto wa Mwinyi!. A-Level nimesoma darasa moja na Mtoto wa Warioba!. Chuo nimesoma na mtoto wa JK japo sio darasa moja!.hivi wewe pasco kuna kiongozi usiefahamiana nae familia yake na vitu vingine kama hivi kusoma na watoto wao nahisi ungekuwa na kiumri kama cha miaka 65 ungetuambia "jakaya nilikuwa nampiga sana kipindi mimi nipo la 6 ye yupo la 5 s/m msoga muongo sana ww kiumbe
hahahahahahahMkuu Ndahani, asante. Mtu akiishakuwa ni Muislamu Swala 5, Alhaj, then its obvious mkewe atakuwa ni Muislamu!. Hata mke wa Prof. Lipumba alikuwa ...
Thanks.
Pasco
humu leo ni burudani tosha tu... hahahahahMnabishania dini za watu bure tu....
Huyu Asanterabi ndo Kiranga.
Duh! aisee... ngojea niendelee kula burudani tuAsanterabi hana ujiko wa kuwa Kiranga.
I know the kid since he was going to Oysterbay Primary.
kweli wewe ni sumu, unaandika sumu na atakayeamini uloyaandika ataangamia kwakuwa amekula sumu.
FaizaFoxy ni moja kati ya WATU werevu sana hapa JF Mwenye hoja nzito nyingi.
Tunahitaji WATU wengine wengi kama yeye ili tunufaike zaidi.
Kakupiga ikulu ndiomana unalalama, ukweli na usemwe HATAKAMA unaumiza.
Na bado.
Leo mtaongeza idad zoote za watoto mzipendazo.
Lakin ujumbe umewafikia sasa.
Mtasema sana.
Huyu naye alisoma spesho skul?
wadau wanasema jamaa ni aza boy..sijui kama azania nayo iliitwa spesho?special school hakukuwa na jipya zaidi ya kushindana kukariri vitabu vilivyoandikwa na wazungu na kupata div.one mitihani ya necta!
Mkuu The Boss, asante. Kumbe ulisoma Azania?, mimi nilikuwa hiyo shule ya jirani yako, ile ya Walume Ndago!, vipi jamaa class alikuwa kichwa?. Ilikuwa ni miaka ipi?. Mimi nimesoma darasa moja primary na mtoto wa Malima ambaye sasa ni medical doctor Dr. Amani, by then Malima alikuwa na watoto wawili tuu, Amani na kaka yake tuu, ila kwa vile ilikuwa long, usikute dogo alikuwa hajazaliwa!.
Thanks
Pasco
Asanterabi hana ujiko wa kuwa Kiranga.
I know the kid since he was going to Oysterbay Primary.
Asante=Thanks
Rabb=Is a comprehensive term meaning the creator, sustainer, the controller, nourisher, protector-(Actually, no single english word can explan the term rabb, we sometimes use the word Lord just for simplicity or clarifications); therefore
Asanterabi=Thanks Lord. If you call this a christian name, then big pole bibi
Nilitegemea uzi huu ungekua chachu ya maendeleo kielimu kwa watanzani tuliopo hapa nyumbani na wale waliopo ughaibuni kwa kuwa na idadi kubwa ya watu kama Dr.Asanterabi lakini imekua mambo ya udini sasa,Faizafoxy ni kweli umekuwa mwerevu lakini kasoro yako moja ni kuendekeza udini.
Japo nilitegemea kuona members humu wakitutajia watanzania wengine wenye uwezo kama Dr.Asante,lakini ni udini mwanzo mwisho
Alikuwa average tu Azania....kuna real brain hazikupata nafasi tu za kwenda huko nje na kuonesha uwezo wao
Bongobserikali scholarship kwa majina.
Kuna watu walikuwa wanazikalia scholarships mpaka zina expire.
Kwa sababu tu hawakuwa na "watu wao" wenye majina kuwapa.
Umenikumbusha masheikh wa BAKWATA wanajifanya wanatafuta scholarship kwa waislam wakipata wanauza kwa yeyote mwenye pesa.....huku wakiendeleza "siasa za nchii hi waislam wanaonewa"
Ahahahaaa daaah! That's classic man.
Kwa hiyo hata mimi nisiye na dini kama ningewapa mshiko wangenipa scholarship?
Aisee njaa bana...
Ahahahaaa daaah! That's classic man.
Kwa hiyo hata mimi nisiye na dini kama ningewapa mshiko wangenipa scholarship?
Aisee njaa bana...