Mkuu Kalyovapiti, asante!. Nini kusoma na mtoto wa malima?!, niliyentaja nimesoma nae darasa moja!. Pia primary nimesoma darasa moja na Mtoto wa Malecela!, sekondari nimesoma darasa moja na Mtoto wa Nyerere, Darasa Moja na mtoto wa Mkapa, shule moja na Mtoto wa Mwinyi!. A-Level nimesoma darasa moja na Mtoto wa Warioba!. Chuo nimesoma na mtoto wa JK japo sio darasa moja!.
Nikiwa mwandishi, nimekaa kuzungumza face to face na Nyerere, Mwinyi, Mkapa, JK, hivyo wote hao ni watu wa kawaida sana!, kwa bahati nzuri, with connections na lobbying, I could have been anyone I wanna be, but very unfortunately, I'n nobody simply because I've decided to be so, mimi ni wale rare type ya ambitionless just to be nobody!. Mpaka hapa ninapoandika sasa, mimi ni jobless, sijaajiriwa na popote na yeyote, situmwi chochote na yeyote, popote, ni mwandishi wa kujitegemea kwa kujitolea, I just do what I love, I feel or i like, na kith kikubwa zaidi kuliko vyote, I don't work for money!, I just made some, and used it to work for me!.
Nimeoa wake wawili, nina watoto 7!, Naishi nao wote very happly pale nyumba ya kupanga, Tandale nyuma ya kwa Mtogole, jirani na Uwanja wa Fisi, usafiri wangu ni boda boda!.
Thanks.
Pasco.