Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu sijakupata vizuri hapo. Embu fafanua kidogo.nawaza kwa nguvu huyu lazima alitokea ukerewe bhana na sio mkuranga................huko ni mzamiaji kama mr mtembei wa bukoba.....dr kairuki etc
Hongera sana dr.malima,
Umegundua cha maana na chenye manufaa kwa taifa na dunia kwa ujimla sio kama yule aliyegundua instagram party.
Mkuu Kalyovapiti, asante!. Nini kusoma na mtoto wa malima?!, niliyentaja nimesoma nae darasa moja!. Pia primary nimesoma darasa moja na Mtoto wa Malecela!, sekondari nimesoma darasa moja na Mtoto wa Nyerere, Darasa Moja na mtoto wa Mkapa, shule moja na Mtoto wa Mwinyi!. A-Level nimesoma darasa moja na Mtoto wa Warioba!. Chuo nimesoma na mtoto wa JK japo sio darasa moja!.
Nikiwa mwandishi, nimekaa kuzungumza face to face na Nyerere, Mwinyi, Mkapa, JK, hivyo wote hao ni watu wa kawaida sana!, kwa bahati nzuri, with connections na lobbying, I could have been anyone I wanna be, but very unfortunately, I'n nobody simply because I've decided to be so, mimi ni wale rare type ya ambitionless just to be nobody!. Mpaka hapa ninapoandika sasa, mimi ni jobless, sijaajiriwa na popote na yeyote, situmwi chochote na yeyote, d popote, ni mwandishi wa kujitegemea kwa kujitolea, I justo what I love, I feel or i like, na kith kikubwa zaidi kuliko vyote, I don't work for money!, I just made some, and used it to work for me!.
Nimeoa wake wawili, nina watoto 7!, Naishi nao wote very happly pale nyumba ya kupanga, Tandale nyuma ya kwa Mtogole, jirani na Uwanja wa Fisi, usafiri wangu ni boda boda!.
Thanks.
Pasco.
Mkuu Mzee wa Data, kwanza asante kutujulisha kuwa "huyu Pasco ni tapeli kama matapeli wengine..!", kiukweli watu matapeli, wanafanikiwa kwa kuwatapeli watu kwa vile wengi hawaujua utapeli wao!. Kwa vile wewe ni Mzee wa Data, utaisaidia sana jamii, kama angalau utamwaga data za utapeli wa huyu Pasco ambaye ni tapeli kama matapeli wengine..ili jamii iujue utapeli wake na kuiepusha jamii kuendelea kutapeliwa na matapeli!.
Thanks.
Pasco.
Alikuwa mwanafunzi bora wa mwaka huo na si hilo tu pia ndio mwanafunzi bora kutoka africa kupata kutokea.media za uturuki zilimtangaza sana na hapo heshima ya watanzania iliongezeka wakati tunaenda kusoma uturuki kwa sifa alizoziacha.
Khaa!! how?? ahack ya akaunt ya mlalahoi ili imsaidie nini??:sleepy:Rohombaya, njo u haraka, kuna mtu ame hack account yako aise!
Khaa!!! Wewe wa wapi?? Sayansi bongo?? Una wazimu wewe. Bongo kila kitu siasa. Wanakesha wakiomba ebola iingie nchini wafanye siasa. Siasa ni kila kitu kuanzia usafi wa mazingira hadi kikombe cha babu. Ndiyo tulivyojichagulia.
Mkuu Data, asante!. Mwanzo uliniita tapeli, nilipo kuuliza utapeli wangu ni upi, sasa umekuja na hoja za mimi ni mtu wa ajabu sana!, as if natoka outer space?!. Ninaishi kwa maajabu?!, hapo wala sijakuambia kama mimi ni vegetarian, na unaweza usiamini kuna watu wanaishi kwa kula hewa tuu wanaitwa "breathpetarians" nikikumbia mimi ni mmoja wao si ndio utakimbia kabisa!. Mwanzo nilifikiri una data!, sasa nimeamini kumbe umedata tuu!.Mkuu huoni kama wewe ni mtu wa ajabu sana!!!!!!!!!!
,,,,,,,,,,mimi ambaesijakutana na wewe unafikiri nikufikirie vipi,, Unaishi kwa maajabu,,
Did they invent or discover?
Huo ni ukuda kujadili mtanzania na dini yake kama malima kaweka record hyo ni sifa kwa tanzania nzima bila kujali mkristo au muislam ,kama mnakuwa mnakosa cha kuongea ni bora kunyamaza,msilete chuki baina ya watu na watu
Mkuu Githe, asante, ila mimi sio mwana FA.Haaa...haaaa..... Pasco huwaga una majibu ya kifalsafa.
We wa father K pia?grad. 1990!Mkuu The Boss, asante. Kumbe ulisoma Azania?, mimi nilikuwa hiyo shule ya jirani yako, ile ya Walume Ndago!, vipi jamaa class alikuwa kichwa?. Ilikuwa ni miaka ipi?. Mimi nimesoma darasa moja primary na mtoto wa Malima ambaye sasa ni medical doctor Dr. Amani, by then Malima alikuwa na watoto wawili tuu, Amani na kaka yake tuu, ila kwa vile ilikuwa long, usikute dogo alikuwa hajazaliwa!.
Thanks
Pasco
Mkuu Ali, asante. Yes, ila sio wa 90's ni wa late 80's enzi za Walume Ndago, 1990 ndio walianza kuingia wale watoto mayai!.We wa father K pia?grad. 1990!