Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Ndo apo apo tunamcritisize, hakubaliki na watu wengiTunaomuelewa ni wachache sana...
Huyu sio msanii wa kila shabiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo apo apo tunamcritisize, hakubaliki na watu wengiTunaomuelewa ni wachache sana...
Huyu sio msanii wa kila shabiki.
Mfatilie Huyu kiumbe Vizuri Dizasta Vina.Uyu jamaa mnamkuza sana
Black suitsDizasta ameajiriwa serikalini kwenye kada ipi?? Maelezo tafadhali maana ndio nimejua leo
Sidhani aisee, tuendelee tu kuenjoy mangoma yake naipenda sana ALMASI na ACHIA JALA very inspairational songs huwa sichoki kuzisikia japo hiyo ya pili inachochea ujambazi na uhalifuBlack suits
Nyingi ya story zake ni copy and paste. Ana twist kidogo tu ila mambo ni yale yale.This guy is best rapper , but to be honest is overrated
He is good story teller
He is good writer
But he is overrated
I think different on thisThis guy is best rapper , but to be honest is overrated
He is good story teller
He is good writer
But he is overrated
Mfano wa copy aliyo,paste ni ipi MtaalamuNyingi ya story zake ni copy and paste. Ana twist kidogo tu ila mambo ni yale yale.
Wewe unalinganisha nyakati,Hip hop ni mziki wa ajabu sana, kuna watu ni wanaharakati ila sasa kuna wale wasanii. Dizasta ni kama mwanaharakati ila bado hajaweza kuingia kwenye mziki mtonyo.
Akikaa vibaya ataangukia kwa brothers waliotangulia kwenye game mfano Nash MC na Nikki Mbishi.
Speaking about mtu wakumtoa dizasta knock out kwenye rap game, Dizasta hamfikii Nikki Mbishi hata 45% ya uwezo wake. Nikki ni moto mwingine ila alianguka vibaya sana.
Inategemea na vile unaifahamu gameWewe unalinganisha nyakati,
Unalinganisha wakati wa dizasta na
Wakati wa Nikki Mbishi.
Pia hawa watu hawapo kwenye personal orbit Moja.
Utabiri wako si kweli
Huu ni mtazamo wako piaInategemea na vile unaifahamu game
Ni mkali sana aiseeUyu jamaa mnamkuza sana
Ana copy kutoka wapi na anatwist nini mzee!?Nyingi ya story zake ni copy and paste. Ana twist kidogo tu ila mambo ni yale yale.
Kwenye Tribulation alimwambia Rapcha "Flow ni moja2 vipi ningekuwa na Flow nyingi?"...Lakini mimi sikubali kuwa Ana Flow moja..hebu sikiliza Confession of mad teacher, ka'change flowMi nikishaona mtu anabeza uwezo wa Vina naanza kuwa na mashaka na uwezo wake wa kuelewa mambo. Kitu pekee ambacho nakubaliana na wakosoaji wake ni kwamba ana flow moja tu, habadiliki... ila his pen game is A+, kuna watu endeleeni tu kuwasikiliza Mabantu ila achaneni na Vina.