Song: String Theory by Dizasta Vina

This guy is best rapper , but to be honest is overrated

He is good story teller
He is good writer
But he is overrated
I think different on this
He is still underrated, if not so
Where is Overrated?
 
Wewe unalinganisha nyakati,
Unalinganisha wakati wa dizasta na
Wakati wa Nikki Mbishi.
Pia hawa watu hawapo kwenye personal orbit Moja.
Utabiri wako si kweli
 
Wewe unalinganisha nyakati,
Unalinganisha wakati wa dizasta na
Wakati wa Nikki Mbishi.
Pia hawa watu hawapo kwenye personal orbit Moja.
Utabiri wako si kweli
Inategemea na vile unaifahamu game
 
Kumwelewa jamaa inabidi akili yako iwe na uwezo wa kuchanganua mambo kwa haraka na upeo mkubwa wa kiàkili coz maneno anayotumia..Naikubali sana Album zake za The Verteller na Father figure,,Sikiliza Top Sherif, Money,Nobody is safe zote zile,Hatia zote,Chupa moja ya ziada, Confession of mad teacher,Ndoa,Best friend na Tribulation alizomchana Rapcha,
 

Attachments

Mi nikishaona mtu anabeza uwezo wa Vina naanza kuwa na mashaka na uwezo wake wa kuelewa mambo. Kitu pekee ambacho nakubaliana na wakosoaji wake ni kwamba ana flow moja tu, habadiliki... ila his pen game is A+, kuna watu endeleeni tu kuwasikiliza Mabantu ila achaneni na Vina.
 
Kwenye Tribulation alimwambia Rapcha "Flow ni moja2 vipi ningekuwa na Flow nyingi?"...Lakini mimi sikubali kuwa Ana Flow moja..hebu sikiliza Confession of mad teacher, ka'change flow
 
Kwenye Tribulation alimwambia Rapcha "Flow ni moja2 vipi ningekuwa na Flow nyingi?"...Lakini mimi sikubali kuwa Ana Flow moja..hebu sikiliza Confession of mad teacher, ka'change flow
Amini mkaliii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…