Songas to buy Dowans generators?

Kuna ttarifa ya kuwamitambo ya Songas imeharibika hivyo tanesco wamelazimika kuanza mgawo wa umeme mara moja.... mmh.. too much coincidence... inabidi tuanze kuona conspiracy hamna njia.....
 
Mtanzania,
Mjamaa Mkandara, anayeishi kwa mapebari Canada kwi kwi kwi!!!

Ningelikuwa mimi yule waziri mkuu wa Australia ningemwambia Mkandara kama wewe mjamaa, nenda North Korea basi! kwi kwi kwi!!!
Mkuu wangu wajinga ndio waliwao kwani nyie mnausikia tu Ubepari hamuujui hata chembe!..nitarudia kusema nafikiri, nakula na kulala kama bepari!..pamoja na kwamba najua mabaya yake..Ujamaa hutanguliwa na fikra za mitumba...kutafuta vitu cheap maisha cheap na rahisi ktk kugawana umaskini...

Mkuu wangu hakuna sababu yoyote aliyozungumza Chris Ford ambayo sikuizungumza lakini nyie mmeita ni siasa.. Leo kasema sijui mzungu mnakubali kuwa ni biashara.. come on now hata kjipofu aliyaona haya kwa kusikiliza kwa makini mkuu wangu kasoro nyie tu...
Mkuu neno moja tu..Mtambo mtumba ni neno la kiuchumi halina tafsiri ya kisiasa isipokuwa yule anayeona kuwa inawezekana kutumiwa ktk ujenzi wa miundombinu ya nchi..
Hakuna siasa hapa ila nyie ndio mnatazama vitu vyote nje ya hoja zetu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…