Songea: Makanisa mawili yateketezwa kwa moto

Dahh haya mambo yanarudi kwa kasi sana maana tulishaanza kuyasahau
 
Amwehu Akbar....makafiri mchomewe makanisa yenu yote mpaka yaishe....jumapili mnatupigiaga kelele sana Na mispika yenu
 
Ingechomwa misikiti tungeshangaa Na kusema Ni wakristo lakini shule?? Wewe hujui ilmu Dunya Ni Haram?
 
Makanisa mawili ya Pentekoste Tanzania (KLPT) na Tanzania Calvary Tabelinacle Church katika kata ya Mshangano wilayani Songea mkoani Ruvuma yamechomwa moto na kuzua taharuki na wasiwasi miongoni mwa wananchi.

Tumezungumza kwa njia ya simu na Kamanda wa Polisi wa mkoani Ruvuma ACP Joseph Konyo amesema wanamshikilia mtu mmoja kutokana na tukio hilo.


ITV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…