Songea mbona haibadiliki? Kuna tatizo gani na mmekuwa na Mawaziri toka miaka ya 1960?

Mkuu wewe ndio Umekosea sasa
Watu wa Mtwara hakuna M huko bali kuna N

Mtu wanasema ntu

Mwanamke wanasema Mwananke

Jamaa ni mzoefu anawafahamu
Hujasoma ukaelewa nilichoandika, hakuna M. kwenye kutamka siyo kuandika.
 
Kagera na ruvuma Bora ruvuma mkuu. Kagera Ni masikini miaka yote pamoja na kuwa na wasomi wengi lakini washamba Sana wameshindwa kuendelea kwao.
 
Hujasoma ukaelewa nilichoandika, hakuna M. kwenye kutamka siyo kuandika.
Hili sio jukwaa la kiswahili na Fasihi

Nenda kwenye jukwaa la lugha utakutana na rafiki zako mkajadili Nomino, vitenzi, viwakilishi, irabu na mambo mengine mengi ya vitendawili tega

Hujafika mtwara, Wanachotamka ndio wanachoandika watoto wa shule
 
Vp kuhusu totoz za kingoni ?
Hakuna totozi huku

Kama unataka totozi, Songea kuna uhaba na ukame sana

Sijaona mizigo wala watoto weupe huku

Wengi ni weusi sana kama Mbeya tu na wafupi wafupi sana
 
Kwa kuwa komba,Punda na nyani wanakimbikia mjini hiyo utalii hakuna🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤸🤸
 
Kifupi kama umetokea dar huko kwingine kote ni vijijini mwaka Jana nilienda Mbeya Dec nikiamni nitaenjoy aisee nilichoka anyway kitu pekee nilifurahia ni upishi mzuri sana wa kitimoto nje ya hapo hakuna kitu
Pua ndefu tuu 🤔
 
Nimekupata bila shaka
 
Hili sio jukwaa la kiswahili na Fasihi

Nenda kwenye jukwaa la lugha utakutana na rafiki zako mkajadili Nomino, vitenzi, viwakilishi, irabu na mambo mengine mengi ya vitendawili tega

Hujafika mtwara, Wanachotamka ndio wanachoandika watoto wa shule
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…