mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Badili mtandao.Kule stand mpya internet hakuna na mtandao wa shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Badili mtandao.Kule stand mpya internet hakuna na mtandao wa shida
Mbali ukiwa wapi. kuna mikoa watu husafiri siku mbili.Kwakweli Songea ni Mbali ila napapenda sana.
Hapo umenene,nilivyokuwa naisikia mbeya[emoji23]Kifupi kama umetokea dar huko kwingine kote ni vijijini mwaka Jana nilienda Mbeya Dec nikiamni nitaenjoy aisee nilichoka anyway kitu pekee nilifurahia ni upishi mzuri sana wa kitimoto nje ya hapo hakuna kitu
Kutokea Dar.Mbali ukiwa wapi. kuna mikoa watu husafiri siku mbili.
Wanaishiaga songea hao,mbinga hawaijui,Kwa ruvuma mji uliochangamka kidogo ni mbinga. Sio tunduru, songea ama namtumbo. Mbinga inakuwa kwa kasi sana ukifananisha na hiyo miji mingine
Eti hakuna muingiliano wa watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shida hamna muingiliano wa watu yan wapo wangoni na makabila mengine ya huko ila serikali ingejenga vyuo hata vitatu pangekuwa na watu mbali mbali na mzunguko ungekuwa mkubwa na maendeleo ila itabaki hiv hivo mpka nyerere arudi viongozi wanawaza matumbo kama ilivo wilaya ya Namtumbo hovyo kabsa
Ni kweli, ila kuna Kigoma Mara, Kagera na hata mwanza, ukikaa kwenye basi mpaka unachoka milo yote mitatu unakula safari, ila huko kwa watani zangu, ni milo miwili tu safarini.Kutokea Dar.
Unachokitafuta utakipataWatu wa Dar bana,mnavyoina songea binafsi na mie ninavyoiona hii mikoa ilivyo haina maajabu
Dar. Kuchafu jiji linanuka kuna kila aina ya uchafu,
Mbeya ni kakijiji kalikochangamka kapo varangati,
Mmakonde chi ntu,Apo Ni mmakonde sio mtuHivi ni kweli kuna Mtanzania aliesoma Shule hata ya msingi tu, tena ndani ulimwengu wa Smart Phone hajui kuandi kwa usahihi jina la kila mkoa Tanzania. ingekua kutamka sishangai maana kuna makabila kutamka baadhi ya herufi ni ngumu kutokana kiluga chao. Eti N'twara ha ha.
Bakini huko dar kunakonuka dhambi.Unachokitafuta utakipata
Tunaongelea songea, Ruvuma, sio dar Wala Mbeya! Bora ungeongelea .... Au basi
Unatumia siku ngapi dar hadi songea??Kutokea Dar.
Kwan huko dar kwanzia magomeni ,manzese,mabibo,tandale,mbulahati,kigogo,temeke,kigamboni,mbagala,gongo la mboto,Kifupi kama umetokea dar huko kwingine kote ni vijijini mwaka Jana nilienda Mbeya Dec nikiamni nitaenjoy aisee nilichoka anyway kitu pekee nilifurahia ni upishi mzuri sana wa kitimoto nje ya hapo hakuna kitu
Daaaa elim n kitu Cha msingi sanaLakin mbona NBS inautaja kuwa top five ya mikoa tajiri nchini kwa GDP kuzidi mikoa maarufu kama Kilimanjaro, kagera nk
NBS inataja mkoa wa Ruvuma kama mkoa wa nane nchini kwa maisha bora[emoji23] sasa sijui wanatumia vigezo vip
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wapi mbali?mbAli sana kule