T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Hawa wamehukumiwa kula njama, kupanga. Au ulitaka kwanza wakulipue ndio waje kuhukumiwa?Hivi kweli watu sita wanapindua serikali kwa kutumia visu? Maana hawakupatikana na silaha.
Kufanya fujo ingeeleweka.