Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

Kwa akili yako mtu mpaka afike ikulu ndio aonekane mhaini?..kitendo cha kupanga mipango ya kuangusha serikali na ikafahamika hata kama ulipangia kazuramimba..wewe una hatia.

#MaendeleoHayanaChama
 
16 December 2022

Akisoma hukumu hiyo Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Songea, Mhe. Dkt. Yose Mlyambina PhD, mheshimiwa Jaji alianza kufafanua masuala na tafsiri ya ugaidi kwa kurejea sheria za nchi kama India, Marekani, Sudan na pia taasisi ya UN/ Umoja wa Mataifa inatafsiri ugaidi ni nini pamoja na kutumia kesi rejea kadhaa zilizopata kuhukumiwa ktk nchi kadhaa .....

Court name
High Court of Tanzania
Registry
High Court Songea Registry
Case number
Economic Case 4 of 2022

Republic vs Seif Abdallah Chombo and 5 Others (Economic Case 4 of 2022) [2022] TZHC 15198 (16 December 2022);​

Media neutral citation
[2022] TZHC 15198
SOMA ZAIDI: kurasa 100 ya hukumu ya kesi hii mbele ya Mahakama Kuu Maalum ..
Source : Republic vs Seif Abdallah Chombo and 5 Others (Economic Case 4 of 2022) [2022] TZHC 15198 (16 December 2022); | Tanzlii
 
Upo period binti? Usipende kubisha kila kitu wengine huku ndiko kwetu inapotokea mtu asiyejua kusoma wala kuandika halafu akaja kuikariri elimu ya kiislamu huwa matokeo yake yanakuwa mabaya
Sasa nani hakujui Tunduruuuu?? Kwa taarifa yako naijua Tunduru kuliko wee, hapo Waislamu nimeishi nao kwa 11yrs,

Mkoa wa Ruvuma ni kwetu, wayao nawajua vyedi hadi lugha yao naijua haswaaa, nitoleee upuuzi wako hapaaa.

Mxxxcieeeeew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo ni pepo ya kugonoka kwa kwenda mbele na kunywa pombe isiyo na kilevi ahahaha
 
Mwananchi kaita ugaidi:

Sita jela miaka 30 kwa ugaidi

Which is which?
 
Hii case ni ya kutungwaa, na ni uongo mtupuuu, kuna kitu hapa kipo nyuma ya hii case.

Duuuuuh hatareeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
6th sense only people can see like you.

Hapo hakuna kesi.
Kesi mara ugaidi, mara kupindua nchi, mara mauaji, mara uharibifu wa mali. Mimi sio mwanasheria lakini kwa hili nakataa.
 
Kama ni kweli wanahusika na madudu hayo, pongezi kubwa sana kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Bila kumsahau Mungu ambaye ndiye mlinzi mkuu wa Taifa hili TZ. Asante sana Bwana Yesu.
 
Kwa akili yako mtu mpaka afike ikulu ndio aonekane mhaini?..kitendo cha kupanga mipango ya kuangusha serikali na ikafahamika hata kama ulipangia kazuramimba..wewe una hatia.

#MaendeleoHayanaChama
Mbona hawakushtakiwa kwa kosa la uhaini?
 
Yote haya ni matatizo ya kuwepo haki katika nchi. Uchaguzi feki na watu kubambikiwa kesi
 
hii si ndio kama ileile iliyo kuwa kesi ya mwenyekiti wa Chadema Mbowe?! au zinatofautiana
 
Baada ya kuingia madarakani kwa kupora uchaguzi, sasa wanatengeneza consipirancy theories ili kutishia watu. Ni hivi, hakuna namna itafanyika zaidi ya machafuko ama kupindua nchi ili kuwatoa madarakani hawa wezi wa kura.
Huna akili we endelea kuolewa Ubelgiji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…