TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Hakika ubora wa miundombinu ya barabara ikiwa mizuri hakuna kinachoshindikana.
Muda huu ni saa 22:30 basi la kampuni ya Super Feo limeondoka Singida kuelekea Jiji la miamba Mwanza.
Wale wadau wa usafirishaji mnaionaje na imekaaje hii..?
đź§ Yule anayetaka kujua umbali kwa mfumo wa picha nadhani hii ramani itakusaidia.
Zoom and fetch area you want.