Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

Hakuna route yenye mabasi mabaya nchi hii Kama route ya Tanga Dodoma. Wafanyabiashara hawaoni hiyo fursa. Watu wanalazimika kupitia Arusha Kisha Dom kwa siku mbili kukwepa tu mabasi mabovu ya njia hiyo.
Mkuu kampuni mbovu ni Simba na Raha leo lakini Tashirfu na Burdani full manganyu ziko vizuri sana make mm ndo magari yangu huwa nayatumia kwa mwezi si chini ya mara 2
 
Nimeongea na meneja wameweka nauliya 70,000 kwa kilometa hizo 1,400+

Pia Songea to Kilimanjaro inaanza leo tarehe 07.11.2021
Songea to Kilimanjaro nauli shilngi ngapi?
 
Hakuna route yenye mabasi mabaya nchi hii Kama route ya Tanga Dodoma. Wafanyabiashara hawaoni hiyo fursa. Watu wanalazimika kupitia Arusha Kisha Dom kwa siku mbili kukwepa tu mabasi mabovu ya njia hiyo.
Tashrif wameweka Youtong mpwa acha kuwafitinia
 
Duh hongera sana, week zilizopita nilitoka Uvinza kwenda Njombe, kufika Dodoma nikipanda Premier ya Mwanza Mbeya, hadi Makambako, Sasa Makambako kwenda Njombe ilibidi nipande Lory. Kwa hii ya Superfeo itakua poa sana maana Makambako watakua wanafika SAA Tisa usiku...Songea nadhani itakua SAA 12 asubuhi
 
Hii route akitaka abiria wengi zaid aende moja kwa moja Arusha moshi iwe Kama kituo tu
Mkuu wa Peramiho sijakuelewa aende vipi direct?.

Maana ipo hivi, chuma kinanyanyuka Songea, kinapita njombe, makambako via iringa, Dodoma inakula kondoa, babati anashusha anaitafuta chuga ikiwa ni saa 23hrs then anawapeleka shemeji zangu kula krisimasi moshi.
 
Super feo ni habari nyingine ana uthubutu kaanzisha route nyingi sana afu wengine wanafuata nakumbuka kipindi nasoma Dodoma nilikuwa napata shida kuunganisha magari kwenda home Mbinga kama kupitia Morogoro au Iringa then nipate gari ya Songea ila mbabe akatuanzisha route ya mojamoja toka Dom mpata Songea town ndipo wengine wakaona fursa.
 
Back
Top Bottom