Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

Majinja ile route yake ilikufa nadhani ya Mtwara - Dar- Mbeya
Majinja kashindwa nani ataweza??
Namuamini sana, route za kiumeni,

Siyo kina Ally Star, wamepaka mabasi rangi za kuvutia nyuki, ukipanda huduma mbovu, daladala si daladala, siti mpaka mawaya yametokeza nje, jua likiwaka tu, linachemka gari kila kilometa100, mnatafuta visima vya maji! Mnalipooza...shubamitiii

Everyday is Saturday................................😎
 
Super feo ni habari nyingine ana uthubutu kaanzisha route nyingi sana afu wengine wanafuata nakumbuka kipindi nasoma Dodoma nilikuwa napata shida kuunganisha magari kwenda home Mbinga kama kupitia Morogoro au Iringa then nipate gari ya Songea ila mbabe akatuanzisha route ya mojamoja toka Dom mpata Songea town ndipo wengine wakaona fursa.
Wa kumbinga[emoji41]
 
,,
FB_IMG_16362668345877154.jpg
FB_IMG_16362668248684744.jpg
FB_IMG_16362665656108558.jpg



Hii mbamba bay to dar,,,,,,dar tuliingia SAA 7 kamili usiku.
 
Huyu mwamba wa kusini kaingiza G7 10.
Angalau G7 zina finish kuliko Gemilang sijui wamezipendea nn Gemilang naona zimekaa kisufuria zaidi.Hata master fabrication singa wa Nairobi anatoa chuma kali check vyuma vya Tamheed Dar Mombasa.

hqdefault.jpg


Selous-Express-Marcopolo-G7.jpg
 
Back
Top Bottom